miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
hapana bebi kuvumilia mpaka upate sehemummmh sa nyege zikipanda ghafla ofisini si tunachapana kimoko kutuliza munkari beb
hapana bebi kuvumilia mpaka upate sehemummmh sa nyege zikipanda ghafla ofisini si tunachapana kimoko kutuliza munkari beb
hapana bebi kuvumilia mpaka upate sehemu
Duuuuuh. Halafu wanajisafisha kivipi baada ya huo ujinga. Kufanya mapenzi ofisini ni ujinga wa kiwango cha juu. Only desperate people can do that.Wakuu habari za nyinyi jamani,
Natumaini mu wazima kabisa,
Leo nimeona nishushe haka ka uzi ambako nimekafanyia utafiti usio rasmi na nimeona kuna haja ya kukajadili.
Kwa wenzangu na mimi tulio maofisini bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wafanyakazi kupeana tamu maofisini baada ya saa za kazi.
Wengi hubakia baada ya saa kumi na moja au mbili wakijifanya kuwa bize bado na vimeo mbalimbali kumbe wanazuga watu wengine waondoke ili mechi zipigwe kwenye sakafu, makochi au Meza na viti vya ofisini.
Ukweli ulio mchungu ni kwamba wake zetu ambao tunaona ni watulivu nyumbani na hata weekend hawatoki nyumbani kwenda kokote kumbe mabosi wanawainamisha huko maofisini baada ya saa za kazi aisee.
Hii pia inawakumba sana wahudumu wa maofisi, masekretari na walio katika mafunzo ya vitendo wapo pia wanawake wanaowaita hapo ofisini michepuko yao waje kupiga show ofisini.
Kinachonifanya niulize ni sababu zamani ofisi ziliheshimiwa sana, baada ya saa za kazi watu walikuwa wanarudi nyumbani, ni kwanini sasahivi maofisi yamegeuka magesti ya kuchapia mpaka wake za watu? Karibuni tushee aidia hasa kama kuna wenye konfesheni za kungonoka ofisini.
ndiyoMmmh! Sa nyege zina uvumilivu beb!
ndiyo
inasikitika umejikalia tu home very honest na mwanaume anaukwaa huko halafu ananyamaza tu. y asiseme tu na mimi nianze dawa?? huoni ni uaji mkubwa anaruhusu hadi mimba jmn.Aiseeeeh
Pole Sana, jamani hadithi hii ni aibu sana. Ulivyoandika unatia huruma sana
wakati mwingine unahisi nothing exist as love, maana duuuuhAcha tu ni uuwaji unajiuliza huyu wakati anaoa alimpenda kweli au alimtamani
inauma aiseee asikuambie mtuNdiyo wengi wanafanya hivyo mke akipata mimba akienda pima ndiyo anashituka akifika huko anaambiwa mbona mmeo siku nyingi
Bonny Bonny, niache bhana mbavu zangu mie.Hv kwel shem watu wanakula overtime Yao sie tuwe tunawaangalia tu
hapana we ni mzinziApana asee we muongo
Sijambo kuna simuliz Leo ntakuitaBonny Bonny, niache bhana mbavu zangu mie.
hujambo lakini?
hahahahahaha mida gani puliiize nisije niakasinziaSijambo kuna simuliz Leo ntakuita
baki hapo ukiangaliaaa, uzee utanikumbukaaaMie siwezi kuoa aseeh, so sitakuwa naye sababu niyaonayo kwa wenye ndoa BiG NOOOOO
Kumbe ndio maana unataka kuona watu wakigegedana kumbe unasinzia kwelhahahahahaha mida gani puliiize nisije niakasinzia
hahahahahah sasa kama wanafanya usiku mimi si nitakuwa imelala jamani.Kumbe ndio maana unataka kuona watu wakigegedana kumbe unasinzia kwel
Overtime haifanywi usiku Ile jion wakiwa wanatoka bwana Sawa enheehahahahahah sasa kama wanafanya usiku mimi si nitakuwa imelala jamani.
niambie mapema niweke vibanio kwa majicho yangu yasifunge
ok sawa na mie nitazuga nina kazi nyingi nione mwisho waoooOvertime haifanywi usiku Ile jion wakiwa wanatoka bwana Sawa enhee