One year of love and happiness

One year of love and happiness

nimekwishapoa bestito usijali kwani najua ndo mambo ya mjini hayo
bora kuficha kuliko kuanika ovyo kama karanga mbichi

kumbe wadada wa Chit chat ni Manyang'au? nilikuwa sijui kabisa!!
Nimwambie mke wangu ahame? au unanishauri nini? hofu yangu na yeye asijegeuka nyang'au
 
Back
Top Bottom