One year of love and happiness

One year of love and happiness

huku Mwenge yaani wananionea sa hivi natafuta hata kimeo cha 5000 tu

Pole sana hao wa mwenge ni noma ila mi hawajawahi kuniibia pamoja na kupanda mabasi hapo for six good years nilikuwa makini yaani kila aliyesimama pembeni yangu nilikuwa namwona kibaka.
 
Basi mi mkali! nilikuiba mzima mzima
 
Back
Top Bottom