One year of love and happiness

One year of love and happiness

kwa Chocs mbona nilishasahau siku nyingi? labda ungeniuliza kwa shansarie,
Chocs ni mke halali wa Erickb52 sema mara moja moja huwa anakuja kuja

Ha! Hivi kumbe shansarie ndiye shemeji? Sasa kumbe sikuulizi wewe, namuuliza mwenyewe maana mi na yeye dam dam. Eti shem hebu tiririka, wakati bro anakusarandia kulikuwa na compee kama ninayopata mimi kwa amu?
 
Last edited by a moderator:

inamaana haujui? sasa mkuu Chocs umemtajaje hapa?
 
Last edited by a moderator:
Mie polisi jamii

1505006_10151941058008040_1651791586_n.jpg
 
Ha! Hivi kumbe shansarie ndiye shemeji? Sasa kumbe sikuulizi wewe, namuuliza mwenyewe maana mi na yeye dam dam. Eti shem hebu tiririka, wakati bro anakusarandia kulikuwa na compee kama ninayopata mimi kwa amu?

hakukuwa na compee bwana it was love at first sight hakuna longolongo ukinengua sana wenzio wanawahi so namshauri amu atoe jibu haraka
 
Last edited by a moderator:
hakukuwa na compee bwana it was love at first sight hakuna longolongo ukinengua sana wenzio wanawahi so namshauri amu atoe jibu haraka

unampa Tuko ushauri gani mwepesi, yaani leo unadiriki kusema hukunisumbua?

Ha ha ha ha ha, Tuko piga mistari zaidi na zaidi vingine si vya urahisi sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom