mmmh kazi ipo
Owkey wangu yaani hata mimi inaninyima raha sikujua kama kutakuwa na delay kiasi hiki.ngoja nitamuuliza tena leo.
Hivi ushawahi kudaiwa na mtu afu umemuahidi jmosi nitakupa afu jmosi inafika huna kitu mfukoni basi kila simu inayopigwa unahisi ni yy mlango ukigongwa unashtuka kma vile kakufata kuchukua chake unakuwa huna raha. Basi ndo nnavojisikia hapa.am not owkey kwakweli hope wakupigie soon.
Ukiamka uniambie kwann umesema maneno haya kwangu ni mazito sana
Bora umeona hilo rafiki
Got ya
Sasa ya nini kuwaacha kina 'Valentina' kuzagaa wakiwa single!
hivi bandiko la amu hujaliona?
chukua mmoja aisee muanze kupendana
Kumbe wanachukuliwa eehhhhh!!!!!!!!!
Eti 'Valentina' hebu niambie..!!!!!!!
Bandiko la amu sijaliona bana ..!!!!!!!
Wewe mwanamme niache nipumueeeeeee
wewe na umaarufu wako mkuu lazma umdake mmoja kirahisi.
amu anataka kuwa na mtu maarufu, u deserve hiyo nafasi mkuu Tuko na Jerrymsigwa walishindwa kabisa.😛ray:😛ray:
Eiyer atupe karata zake kwa Valentina labda. Huku kwa amu nimeshafikia stage 9 of 10, kabla ya kupress #submit ... shansarie hebu waambiewewe na umaarufu wako mkuu lazma umdake mmoja kirahisi.
amu anataka kuwa na mtu maarufu, u deserve hiyo nafasi mkuu Tuko na Jerrymsigwa walishindwa kabisa.😛ray:😛ray: