One year of love and happiness

One year of love and happiness

Ni mwaka mmoja sasa tangu nimekutana nae na kusema yes i do feel the same to my lovely sweetheart
na bado tupo imara. namshukuru mungu kwa kutupa afya njema na kutuepusha na vikwazo mbalimbali
vya hapa na pale tunanyanyuka tunafuta vumbi safari inaendelea na kukubaliana na mapungufu ya kilammoja wetu

Napenda kurudia tena leo tarehe 4 jan 2014 kauli niliyoitoa tarehe hiyo 2013,leo nasema mbele ya wana jamii forum chitchat kiwatengu mpenzi nakupenda kupita kiasi hata mungu anajua hilo so wenye vijiba vya roho mkae mbali nasi.
Your more than a husband to me your ma best friend ever and i will never leave you.
wanachit chat karibuni kwa party ndogo hapa marangu
mama Mamndenyi asante kwa kunizalia mume mwemabila kumsahau bamkwe wa kambo chama

this is for you darling
[video=youtube_share;bprlazLGYZA]http://youtu.be/bprlazLGYZA[/video]

Yes Honey!
Happy Anniversary my darling love...

anniversary-oriza-cards-10422-2.jpg

CC: Baba V sungura1980 Filipo measkron watu8 MMAHE Sizinga farkhina Mr Rocky Dena Amsi marejesho 'Valentina' KOKUTONA Arushaone Lady doctor Eiyer The secretary Ablessed Fixed Point BAK EMT Mwanyasi Erickb52 Chocs mwallu Kaizer Mentor DEMBA Asprin THE BIG SHOW snowhite
 
Last edited by a moderator:
I love you darling, nakumbuka ulivyokuwa unazingua ujue, au ndiyo ulikuwa unapima!!

unajali sana, unayajua mapenzi, unajua kupika! we ni mtamu kila sehemu.love you sana darling

i-feel-so-lucky-anniversary-quote.jpg

U want ma head to bust ee thankx sana lucky to have u well
 
Afu kuzingua muhimu kwa mtoto wakike kiwatengu ila sio saana ukizingua sana wengine hawabembelezi
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu and shansarie nawatakia mapendo mema yatayozaa ndoa njema lkn kumbukeni msimuache Mungu daima kuweni nae nyakati zote. OOooooh samahani hivi kiwatengu ushajitambulisha na kulipa sehemu ya mahali au bado wamchuunguza shansarie kama ni mkematerial lol!!!!!!!!!!
 
Mmmm ngoja aje mwenyewe ila asante kwa baraka zako
 
Last edited by a moderator:
Mmmm ngoja aje mwenyewe ila adantr kwa baraka zako
Hahahahahahahahaha Kweli aje anijuze hapa manake kuna pesa ya barua na kuna kishika uchumba haya yote hufanyika kabla ya mahari yaani wakati Mume mtarajiwa akiendelea kujiuliza kama huyu ndiye au siye.
 
Bado nipo gizani namsubiria ajibu hili inawezekana akaleta nisijue kweli?
 
kiwatengu and shansarie nawatakia mapendo mema yatayozaa ndoa njema lkn kumbukeni msimuache Mungu daima kuweni nae nyakati zote. OOooooh samahani hivi kiwatengu ushajitambulisha na kulipa sehemu ya mahali au bado wamchuunguza shansarie kama ni mkematerial lol!!!!!!!!!!

kwanza! asante kwa baraka zako..

I love her kwa kweli.
Hizo taratibu nyingine ni swala la time tu!
We just waiting for our time to come.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom