One year of love and happiness

One year of love and happiness

Utamuweza amu?...fanya ushinde.. this time next year uanzishe kathread kama haka,

Weeeee kaa kimya hivi hujui just a cup of tea inatumika kula a big loaf of a bread? Namuweza tu
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA, we mwache tu huyo meanamke...ana wivu ka pacha ake...kesho ntamjibu barabara!love u my angel.
 
Last edited by a moderator:
Hachapiwi mtu hapa...umesikia Eli79 ukiniacha mi mtalia , ukienda zako ntabaki naumiaaa.Be mine Eli79, ONLY ME
sweetheart, am yours ONLY! sina mpango wa kando na siwezi kukuacha...wewe ni nyama katika nyama zangu na mifupa katika mifupa yangu...I'll always love and cherish you!
 
Last edited by a moderator:
sweetheart, am yours ONLY! sina mpango wa kando na siwezi kukuacha...wewe ni nyama katika nyama zangu na mifupa katika mifupa yangu...I'll always love and cherish you!

Woooooow.....the sweeetest words jamani, yaani nayafeel maneneo haya hadi kenye mishipa ya damu yangu.
Love you most
 
sweetheart, am yours ONLY! sina mpango wa kando na siwezi kukuacha...wewe ni nyama katika nyama zangu na mifupa katika mifupa yangu...I'll always love and cherish you!

Inapendeza kwakweli.
 
sweetheart, am yours ONLY! sina mpango wa kando na siwezi kukuacha...wewe ni nyama katika nyama zangu na mifupa katika mifupa yangu...I'll always love and cherish you!

Aisee sio mchezo
 
mkuu,kama Kuna sehemu umeona kaza buti...nasikia amu ameikosha nafsi yako...afu uache wivu

Ha ha haaaaa mie sina wivu hata kdg, nazingatia msemo wa 'kizuri kula na nduguyo' amu mwenyewe anajua
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom