One year of love and happiness

One year of love and happiness

sio wadada waliosababisha ni WAKAKA WA CC ndo waliosababisha hayo kwani walimpa umbeya mwingi mpaka naye akaingia mkenge wadada hawana neno hivyo hata mkeo hana neno hivyo usiwasingzie wadada wa watu hapa kwanza naheshimiana nao sana na ndo walionifanyia mpango wa kumliwaza tuyamalize
kumbe wadada wa Chit chat ni Manyang'au? nilikuwa sijui kabisa!!
Nimwambie mke wangu ahame? au unanishauri nini? hofu yangu na yeye asijegeuka nyang'au
 
kumbe ndiyo sisi..
hata mimi ni nyang'au aisee!!!
au kuna tofauti kati ya wakaka wa CC na wanaume wa CC? mi nipo kwenye kundi la wanaume wa CC
 
Kuna tofauti kati ya wakaka wa cc na wanaume wa cc
na sio wote waliosababisha bali ni wachache sana na miongoni mwao wewe hauko kabisa
wewe ni kaka mzuri sana na tena nakupenda kwa uzi zako

kumbe ndiyo sisi..
hata mimi ni nyang'au aisee!!!
au kuna tofauti kati ya wakaka wa CC na wanaume wa CC? mi nipo kwenye kundi la wanaume wa CC
 
kumbe wadada wa Chit chat ni Manyang'au? nilikuwa sijui kabisa!!
Nimwambie mke wangu ahame? au unanishauri nini? hofu yangu na yeye asijegeuka nyang'au

............................:-X.😛:-o:'(....
 
Back
Top Bottom