Mkuu una bahati sana... love at first sight miaka hii ni nadra sana...
Haswaa
ni kweli, hajajua uwezo wa akina paroko katika kuface mambo.
hawezi escape hata kidogo.
Mmh watu wana mataaluma hawakawii kuchongesha ufunguo
Hii imenipita aisee
Hongera sana....niwatakie kila la kheri
Mkuu usijali nitakunong'oneza ....!!!!!!!!!
hata usiponing'oneza! mi nitaona manyoya tu! na nitajua kashaliwa