Zitto ndani ya ACT umejipa nafasi ya Kiongozi Mkuu na Mkiti wenu hana mamlska yoyote ni kama ceremonial figure tu.
Watu wamekufananisha na Ayatollah unayetaka kumiliki ACT kifalme huku ukigombea peke yako nafasi hiyo.
Unazungumziaje hilo?
Utafikiri kweli, kweli wanasiasa mmetufanya sisi maboya
Azimio la Arusha doesn't say so brother. Nitafutie Billionea hata mmoja ambaye sio bepari au kabaila na ambaye hafanyiwi kazi. hapo nyuma nimeweka maana ya Ujamaa kama ilivyoelezwa na Azimio la Arusha..Ben;
visit the libraries there is a book Ujamaa or African socialism by Abdulharman Babu (check spelling); Nyerereism was based on African/Tanzanian characteristics. Not communism or the way you want to point.
Nyerere was a believer; he was Christian. Communists don't believe in God.
Nyerere invited scholars to challenge Azimio la Arusha (Arusha Declaration). Remember an example. Millionaire anaweza kuwa mjamaa? It was debated long time; Nyerere came back and said A millionaire can be Mjamaa.
if Zitto will try to improve that white paper we had; for motivation I think Zitto is a leader who can lead us(maybe); let us give him time; he is still a young man.
We are looking for the Messiah to rescue the country; most oppositions have failed us we should not disappoint those who are emerging; I see light on Zitto.
Zitto,
Chama chako kimejipambanua na Unyerere (Nyerereism) na kufuata misingi ya Azimio la Arusha ambao unaamini mgawanyo wa haki katika raslimali za taifa na pia unaruhusu umiliki wa mali kama nyumba,biashara n.k.
Je, unawezaje kufuata ujamaa wa kidemokrasia wakati huohuo ukijipambanua na Nyerereism ambayo msingi wake ni Ujamaa wa Kikomunisti usioamini katika umiliki wa mali kama nyumba zaidi ya moja na kumiliki biashara ukiwa Kiongozi wa umma?
Naomba pia unijibu suali la Msingi kwani siku moja Juliana Shonza alipata kuandika kua mapato ya ACT anajua chanzo chake hivyo vijana wa ACT wasiseme chochote kile kwani atawalipua, je ni kweli Mwanachama wa CCM anaweza kuyafaham kwa ufasaha mapato ya ACT?
Dah...hivi hili nalo swali?Zitto atachaguaji humu ndani nani wa kumshabikia?usichojua hakuna mshabiki wa CCM anayempenda Zitto wala Chadema.Bali kama anavyosemaga Ritz wanachochea kuni mbaki mnapigana wenyewe.Ndio furaha ya CCM.Asante kwa majibu yako, hata hivyo swali langu la kwanza hukunijibu. Niliuliza kwa nini mashabiki wako wengi ndani ya jukwaa hili ni manazi wa CCM?
fikirikwanza
Siasa ni mapambano. Siwezi kuacha mapambano. Sijawahi fanya usaliti wowote. kuitana majina hayo hakusaidii lolote zaidi ya kufurahisha ego zetu tu. ACT Wazalendo ina shabaha moja tu nayo ni kupambana na mfumo wa uchumi unaonyonya watanzania. Ku surrender mapambano hayo ndio usaliti. Tutaendelea kupambana
4. Sisi ACT Wazalendo tutachochea kuni kuwasha moto wa mapinduzi nchini kwa kuendesha siasa za masuala (issues). Tumeanza ziara yetu mkoa wa Ruvuma kwa sababu ni mkoa ambao wabunge wake wote ni CCM. Tutaweka nguvu sana maeneo hayo badala ya maeneo ambayo tayari vyama vingine vya upinzani vina nguvu. Sisi katika ACT wazalendo tunataka kuona uchumi unarudi kwa wananchi wenyewe badala ya uchumi kushikiliwa na watu wachache.
Sehemu ya kwanza ya swali lako nimeliuliza naona Mh. Zitto ameamua kunipotezea....
Swali kwa Zitto, Hoja ya Escrow ilikuwa yako au ya Kafulila? Maana nimesikiabukibeba utukufu wa hoja hiyo as if ni yako,
pili lini majina ya walioficha mabilion uswizi utawataja au bado wapelelezi wako binafsi wa Uk na uswizi hawajamaliza kazi.?