One of Le Big Mutuz Show

One of Le Big Mutuz Show

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
16,426
Reaction score
21,128
super malecela wj blogfebruary 25, 2014 at 9:14 am


My super sister baby sintah jlo wa bongo, thanks sana kwa the lift I am fine baada ya safari ya west africa na dodoma now I am back at my office kama kawaida doing what I know best broker au udalali yes, na mengineyo like blogging I thank my god kwa ushauri wako wa kukaa mbali kidogo na wachongaji sana maana hawanaga jpiya zaidi tu ya kuandika andika nonsense kwenye mitandao ya kijamii, majuzi nilikuwa TBC1 kuongelea mitandao ya kijamii kwenye "amka na badilika" it was great nilitoa darasa sana kuhusu sulaa zima la mitandao ya kijamii na bongo, kuna mdau ameuliza maswali hapo juu ni kwamba ndio ipo pale pale it is coming soon maana si unajua my fiancee ni msomi aliyebobea na ni mwanasheria na sasa anasomea diplomasia anamaliza june, so worry not gym ninaendelea kama kawaida it takes time kupungua sio one day maana kwenye kuongezeka haifanyiki in one day na it is ok kwa sababu it is life, ningekosa usingizi ningezaliwa ugly then huwezi kwenda gym kuibadilisha sura u know, otherwise love u sintah great woman na great human being, independent and free living your life the way you want sio kuamuliwa na wanaume kwa sababu ya vipesa kidogo vya wizi au kuuza sembe, hope wanwake wengi bongo watajifunza toka kwako, maisha sio kuishi kutegemea wanaume, love u sana na watu wote huku love u more!! - le big show



my take
this guy real need to get job downs there otherwise he will soon face museven ban.
 
Huyu jamaa hajielewi na hatakuja ajielewe, hiyo show ya tbc niliiona zaidi zaidi alikuwa anavuta makamasi tu,
 
Kuna kitu kama sijakielewa hapa, Le Mutuz na Sintah ni wapenzi ama?
 
Uandishi wa huyu babu na umri wake ni vitu viwili tofauti kabisa..
 
Hapana, Ni baby sister wake. Na alimpa lift ndo wakaongea hadi kuhusu kupungua kitambi na kutosikiliza ya wadaku. Sasa unaweka mtandaoni mambo yoote na hadi fiancee sijui anamaliza shule June, na sijui kitambi bado inchi mbili? Wataacha kukujadili?

kanifurahisha Tu anajiona handsome. Nadhani my paw is beautiful for this matter!
Kuna kitu kama sijakielewa hapa, Le Mutuz na Sintah ni wapenzi ama?
 
Hapana, Ni baby sister wake. Na alimpa lift ndo wakaongea hadi kuhusu kupungua kitambi na kutosikiliza ya wadaku. Sasa unaweka mtandaoni mambo yoote na hadi fiancee sijui anamaliza shule June, na sijui kitambi bado inchi mbili? Wataacha kukujadili?

kanifurahisha Tu anajiona handsome. Nadhani my paw is beautiful for this matter!

the fiancee and sintah thing confused me a bit...nikajua sintah ndio huyo fiancee msomi...

ila huyu mzee nadhani ana matatizo ya kisaikolojia na binafsi huwa namchukulia hivyo...
 
Le mutuz aka The big show ... This guy is a Joke... mbaya zaidi habadiliki, hajifunzi, kweli anaitaji kufanyiwa maombi
 
Super Malecela WJ BlogFebruary 25, 2014 at 9:14 AM
MY SUPER SISTER BABY SINTAH JLO WA BONGO, THANKS SANA KWA THE LIFT I AM FINE BAADA YA SAFARI YA WEST AFRICA NA DODOMA NOW I AM BACK AT MY OFFICE KAMA KAWAIDA DOING WHAT I KNOW BEST BROKER AU UDALALI YES, NA MENGINEYO LIKE BLOGGING I THANK MY GOD KWA USHAURI WAKO WA KUKAA MBALI KIDOGO NA WACHONGAJI SANA MAANA HAWANAGA JPIYA ZAIDI TU YA KUANDIKA ANDIKA NONSENSE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII, MAJUZI NILIKUWA TBC 1 KUONGELEA MITANDAO YA KIJAMII KWENYE "AMKA NA BADILIKA" IT WAS GREAT NILITOA DARASA SANA KUHUSU SULAA ZIMA LA MITANDAO YA KIJAMII NA BONGO, KUNA MDAU AMEULIZA MASWALI HAPO JUU NI KWAMBA NDIO IPO PALE PALE IT IS COMING SOON MAANA SI UNAJUA MY FIANCEE NI MSOMI ALIYEBOBEA NA NI MWANASHERIA NA SASA ANASOMEA DIPLOMASIA ANAMALIZA JUNE, SO WORRY NOT GYM NINAENDELEA KAMA KAWAIDA IT TAKES TIME KUPUNGUA SIO ONE DAY MAANA KWENYE KUONGEZEKA HAIFANYIKI IN ONE DAY NA IT IS OK KWA SABABU IT IS LIFE, NINGEKOSA USINGIZI NINGEZALIWA UGLY THEN HUWEZI KWENDA GYM KUIBADILISHA SURA U KNOW, OTHERWISE LOVE U SINTAH GREAT WOMAN NA GREAT HUMAN BEING, INDEPENDENT AND FREE LIVING YOUR LIFE THE WAY YOU WANT SIO KUAMULIWA NA WANAUME KWA SABABU YA VIPESA KIDOGO VYA WIZI AU KUUZA SEMBE, HOPE WANWAKE WENGI BONGO WATAJIFUNZA TOKA KWAKO, MAISHA SIO KUISHI KUTEGEMEA WANAUME, LOVE U SANA NA WATU WOTE HUKU LOVE U MORE!! - LE BIG SHOW


My Take
This Guy real Need to Get Job Downs there otherwise he Will soon face Museven Ban.

kazi gani atafanya huyo... angalia hata anavyojiconduct kwa binti anayeweza kuwa mtoto wake

jamaa kala nusu century, lakini soma anachoandika

hilarious
 
Hapana, Ni baby sister wake. Na alimpa lift ndo wakaongea hadi kuhusu kupungua kitambi na kutosikiliza ya wadaku. Sasa unaweka mtandaoni mambo yoote na hadi fiancee sijui anamaliza shule June, na sijui kitambi bado inchi mbili? Wataacha kukujadili?

kanifurahisha Tu anajiona handsome. Nadhani my paw is beautiful for this matter!
yah, hii ni private conversation kabisa, sijui kwanini anairusha public

jibaba bonge, tena pensioner ni kama limepoteza 35 years aisee

imbechili@work
 
Mimi kwakweli simuelewi kabisa huyu kaka sijui baba?kuna sehemu nilisoma kaandika yeye msomi sasa najiuliza msomi gani na hizi premises zisizoendana na hadhira hata na umri wake? Badilika mkuu na ile style yako ya kipiga picha na watu ishachosha.sikuchukii ila mambo yako yanachosha na kuchukiza.Na lile shati lako jekundu sasa ndio unavyolipenda kila event uko nalo mwambie basi baby wako msomi akutunze lingine maana ulituhadithia amekupa zawadi hilo shati.Halafu sio kila kitu lazima uongee hadharani jaribu kuchuja ya kuhadithia na ya kukaa nayo moyoni.
 
Maisha ya kulala sebuleni sio mchezo jamani. LAZIMA UBONGO UDUMAE!

RELAXING+HOME+1+007.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom