Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,442
Huyu mzee maisha yake yamekuwa si asa tena bali visa na mikasa.
Mpwa wangu anasoma kwiro secondary, alisoma pia huyu bwana le mutuz pale Kwiro hivyo alipofika shuleni kusema lolote, alichozungumzia ni kujinadi na safari za US pekee na ahadi zisitokelezeka. Wanafunzi wote wakadharau na kutawanyika jamaa akiendelea na mazungumzo.