Dolly Parton amefariki August 25, Nepal disaster imetokea August 26

Dolly Parton amefariki August 25, Nepal disaster imetokea August 26

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,947
Reaction score
6,606
This is interesting. Kwa sababu Dolly Parton - like music ni antidote for those kinds of disasters.
Maybe I should write this tedious story to make my point.

Nilikuwa India wakati ule naishi getho, living rough.
Sasa siku moja nimegombana na Wahindi ,nikapigwa na nondo mkononi. Friendly disagreement among friends, hawa jamaa wakanipiga na chuma kwenye elbow.

Usiku nimelala mkono unawaka kwa maumivu usiku kucha.
Fitful sleeping ambapo in my dreams I was listening to Dolly Parton - like music. Yaani, country music.
Asubuhi nikaenda hospitali, ilikuwepo dispensary ya bure kwa mtu ambaye hana hela.

Sasa watu wanamsubiri daktari,halafu baadaye muuguzi anafika,watu wote wanasimama Kwa wakati mmoja,wanasongama.
Sasa mimi sipendezewi Kwa sababu katika msongamano I am afraid that someone might accidentally touch my backside.

Kwa hiyo naamua kuondoka.
Wakati naondoka I am thinking,"Sijali kama mkono wangu ukikatika. But no one is going to touch my backside."( That is how childish I was)

Sidhani kama nilirudi hospitali tena. Nakumbuka tu nilikwenda Kanisani nikasali kwenye sanamu,sijui ilikuwa ya Yesu au ya Holy Mother. Halafu mkono wangu ukapona.
Mind you, nilikuwa nasali naiomba sanamu tu initibu( and nothing else), and I was healed.

Kwa hiyo ndiyo nasema ,it is known by science that music like that intercepts neurons. It was not an accident, whether man made or Heaven made, maybe it was not an accidentkwsmba hii Nepal disaster imetokea wakati ule
 
Siyo hivyo tu
Ile style ya kuomba ya Dolly Parton inafanana na jinsi Wanepali na Watibeti wanavyoimba.

Hata wahanga wa vurugu za October 29 wangeweza kufarijika na muziki wa Dolly Parton
 
RIP Dolly Parton.

May all beings attain enlightenment.

Kaka mkubwa inabidi uandike kitabu au blog kabisa sehemu ulizopitia mpaka living rough. Kama travelogue. Niliona picha zako za New Mexico, Trinity Site in the US desert kwenye nuclear testing site walipokuwa na The Manhattan Project kina J. Oppenheimer nikasema mtalii tunaye.

Maana zile sites mtu kutembelea mpaka awe special fulani hivi 😂😂.

Si sites za mtalii wa kawaida anayekuja Marekani anayeenda New York, California na Florida zile.

Sasa kule ulifuata nini kaka?
 
Back
Top Bottom