One of Le Big Mutuz Show

One of Le Big Mutuz Show

Maisha ya kulala sebuleni sio mchezo jamani. LAZIMA UBONGO UDUMAE!

RELAXING+HOME+1+007.JPG
Loh! mkuu umepate hii picha????? inamaana ungeweza kumfanyia chochote bila yeye kujua!
 
kazi gani atafanya huyo... angalia hata anavyojiconduct kwa binti anayeweza kuwa mtoto wake

jamaa kala nusu century, lakini soma anachoandika

hilarious

Mkuu hii ndio kazi inayomuweka mjini kama alivyosema mwenyewe DOING WHAT I KNOW BEST BROKER AU UDALALI au kwa lugha nyepesi ni "kuwadi"
 
Katika hasara alizopata mzee malecela ni kuzaa hiki toto..yaaani lina akili za kipimbi sijawahi kuona...

Naamini kama mama wangekuwa wanajua, toto kama hili unalibania pale kati wakati linatoka!!
 
Hapana, Ni baby sister wake. Na alimpa lift ndo wakaongea hadi kuhusu kupungua kitambi na kutosikiliza ya wadaku. Sasa unaweka mtandaoni mambo yoote na hadi fiancee sijui anamaliza shule June, na sijui kitambi bado inchi mbili? Wataacha kukujadili?

kanifurahisha Tu anajiona handsome. Nadhani my paw is beautiful for this matter!

nikisomaga ishu zake humu, naona alitengana na mke, huwa nasema huyo mke alimvumilia aisee, mie nisingeweza hata kuishi nae mwezi 1, na huyu mchumba wa sasa ndio huwa namhurumia kabisaa, nikijiuliza kampendea nini nachoka kabisa, kweli we ukiona chongo wenzio wanaona kengeza.
 
the fiancee and sintah thing confused me a bit...nikajua sintah ndio huyo fiancee msomi...

ila huyu mzee nadhani ana matatizo ya kisaikolojia na binafsi huwa namchukulia hivyo...

You are right.
 
Hatari kweli limelala mkono mfukoni linachunga vijisenti vya nauli visidondoke.Linaudhi sana hili zeee.
 
Nyamayao mchumba kastuka siku hizi si unaona kimya hata vikao vya harusi havipo tena kiliishia kile kimoja tu akajidai eti yupo na matajiri wa Dar kwenye kikao cha harusi yake itakuwa ya kukata na shoka kiss ma *sss.
 
Jamani, fiancee mtoto mbichiii, mrembo haswa. Sintah mzee mwenzio Tu wanapeana lift.
afadhali we Ni understanding. Imagine he was your son! He is a retard and he needs our support.
the fiancee and sintah thing confused me a bit...nikajua sintah ndio huyo fiancee msomi...

ila huyu mzee nadhani ana matatizo ya kisaikolojia na binafsi huwa namchukulia hivyo...
 
nyie mliobobea ktk "kithungu" hivi unaweza uka- exaggerate sifa ya mtu kwa kumuita " GREAT HUMAN BEING".?.kuna wakati kiswanglish cha le mutuz kinanichanganya sana.brother Kiranga mchango wako ktk hili pls
 
Last edited by a moderator:
Yaani wanawake tunajuaga kujilipua acha Tu!
Sasa kama binti kaingia mtini, si balaa hii? Mie huwa namhurumia tu.
nikisomaga ishu zake humu, naona alitengana na mke, huwa nasema huyo mke alimvumilia aisee, mie nisingeweza hata kuishi nae mwezi 1, na huyu mchumba wa sasa ndio huwa namhurumia kabisaa, nikijiuliza kampendea nini nachoka kabisa, kweli we ukiona chongo wenzio wanaona kengeza.
 
Jamani, fiancee mtoto mbichiii, mrembo haswa. Sintah mzee mwenzio Tu wanapeana lift.
afadhali we Ni understanding. Imagine he was your son! He is a retard and he needs our support.

Hahah!!

Itabidi nimjue huyo fiancee ni nani haswa maana sijui kama huwa anatoa ushauri kwa mpenziwe...

Besti huyu le mutuz kashakuwa mtu mzima sana sidhani kama ana la kuambiwa tena ili abadilike...

Watoto wengi wa viongozi wakubwa wa nchi wana shida kama yake kutoka na makuzi ya kupata kila kitu...

Mwisho wa siku hugeuka kuwa kama mazezeta pindi ile status inapokata...
 
Hata akifanya jambo gani la kijinga, yeye akijadiliwa anaona sifa na kudhani yeye ni maarufu sana. Anachoshindwa kujua ni kuwa kumjadili kunatokana na kuwa yeye ni mtoto wa nani katika nchi hii (ingawa hatuna uhakika nalo sana hasa kwa watoto hawa wa wanasiasa) na hakutegemewa kuwa hivyo.
Mtoa mada kasema he will soon face Museveni Ban, mmh! Anataka kutuambia si rizki? Au tabia zake ndizo zinazosababisha afikiriwe hivyo? Hiyo inataka ushahidi kabla Museveni hajachukua hatua ha ha ha!
 
Super Malecela WJ BlogFebruary 25, 2014 at 9:14 AM
MY SUPER SISTER BABY SINTAH JLO WA BONGO, THANKS SANA KWA THE LIFT I AM FINE BAADA YA SAFARI YA WEST AFRICA NA DODOMA NOW I AM BACK AT MY OFFICE KAMA KAWAIDA DOING WHAT I KNOW BEST BROKER AU UDALALI YES, NA MENGINEYO LIKE BLOGGING I THANK MY GOD KWA USHAURI

Hapo kwenye RED now I know kwa nini Blog yake imejaa Mabebs, the job he knows the best ni u-broker au udalali.

Kama dalali wa nyumba anaweka picha za nyumba, wa magari anaweka picha za magari na wa viwanja anaweka picha za viwanja anavyodalalia.

Kwa hiyo jamaa anafanya udalali wa Mabebs! Mabebs! Mabebs!
 
Huyu jamaa ana matatizo ya kisaikolojia na issue kubwa ni divorce ukisoma maandishi yake utajua anataka au anahisi ex wife wake anasoma message zake,na ndio mlengwa wa picha na vijembe vyake,na inawezekana hamna ndoa wala mchumba ni rusha roho tu
​
 
nikisomaga ishu zake humu, naona alitengana na mke, huwa nasema huyo mke alimvumilia aisee, mie nisingeweza hata kuishi nae mwezi 1, na huyu mchumba wa sasa ndio huwa namhurumia kabisaa, nikijiuliza kampendea nini nachoka kabisa, kweli we ukiona chongo wenzio wanaona kengeza.

Kampendea ulicho penda kwa bro.
 
Kampendea ulicho penda kwa bro.

Bro msukuma? hata kuwa mpenzi wake tu isingetokea, labda angeficha makucha yake ananionyeshe rangi zote aliponiweka ndani, lakini angekuwa kama huyu naona kila kitu mapema hivi hata wapenzi tu ingeshindikana.
 
Back
Top Bottom