One mad country on earth!

Okay, tuchukulie n kweli corona ipo Tz. Swali langu kwako n wapi umeona vifo au hata umati mkubwa wa watu ukiwa na dalili za coronavirus.?
Si lazima wage kwa Imari, kuna vipimo vyovyote vya corona wagonjwa wanapimwa?
 
Si lazima wage kwa Imari, kuna vipimo vyovyote vya corona wagonjwa wanapimwa?
Waliokufa kwa corona kwenye hizo nchi nyingine walipimwa ht kama n kweli walikufa kwa corona.? Kama Tz kuna corona na tumeambukizana mbona bado watu wanajazana uwanjani, klabun, makazin na sehemu nyingine lkn hatufi.? Au corona yetu ya Tz n feki.?
 
Haki ya kupimwa na kutibiwa COVID ni moja ya haki za msingi za binadamu. Kila binadamu anahitaji huduma za kiafya. Seikali yetu imekiuka haki za binadamu katika kupambana na ugonjwa huu.
 
Haki ya kupimwa na kutibiwa COVID ni moja ya haki za msingi za binadamu. Kila binadamu anahitaji huduma za kiafya. Seikali yetu imekiuka haki za binadamu katika kupambana na ugonjwa huu.
Maneno mengi lkn hujajibu swali langu
 
Kuwa na wagonjwa wengi ni mashindano au sifa?

Mlisema watu wanaanguka barabarani, hospitali zimejaa na watu wanazikwa usiku, vp hizo story zenu bado mnaendelea nazo au siku hizi hawaanguki tena barabarani?
Wanaosema Tz kuna corona inabidi wakujibu japokuwa wataleta maneno mengi yasiyokuwa na maana
 
Nitakuwa mpumbavu kuipinga SAYANSI....

Lakini nitakuwa juha wa mwisho kutoichallenge sayansi japo kwa UPEO WANGU HAFIFU...

Well.....

Watanzania tumekuwa tukijaa katika VIGODORO NA BAIKOKO humu mitaani....

Watanzania tumekuwa tukifurika katika matamasha ya muziki wa kizazi kipya na mechi za ligi kuu kama hizi za SIMBA NA YANGA....

Watanzania tumekuwa tukijaa katika vilabu vya pombe za kienyeji mpaka zile za "kizungu".

Watanzania tunajazana ndani ya mwendokasi na daladala zetu.....

Ni hivi juzi tuliushona uwanja wa Jamhuri kumshuhudia mh.Rais JPM akiapishwa tena....

Kule Zanzibar hali ilikuwa ni hiyo kumuapisha mh.Dr.H.Mwinyi....

Sisemei MAKANISANI....
Sisemei MISIKITINI.....

Hivi kweli TUNGEKUWA NA EFFECTS ZA PANDEMIC CORONA usingesikia kila siku tunazika WAPENDWA WETU?!!

Hata kama Kuna madai ya kuwa SERIKALI haikusanyi takwimu na pia inaficha ukweli wala kina John Saida na Abdallah wasingezificha kwenye vijiwe vya kahawa karata na USUSI....?!!

Unadhani tungekuwa tunaanguka kama kule US,FB WHATSAPP,IG,JF na TWITTER kungepoa?!!!!

Something that is propagated without OBSERVATIONS,EXPERIMENTS AND INVESTIGATIONS are CLUELESS without merits of FACTS...
 
Mm pia nmesema kuhusu watu kujaa viwanjan, baa na sehemu nyingine lkn mbona hatufi kwa corona kama hao wengine, lkn kila anae-reply koment yangu ananipa maneno matupu bila chochote cha maana.

Itoshe kusema nashukuru sana Mungu kwa kutuepusha na huu ugonjwa japokuwa kuna baadhi ya watanzania wajinga wasioamini
 
Sisi ni special case....we built different! 😄
Mungu ni pendo atupendaaaaa
 
Okay, tuchukulie n kweli corona ipo Tz. Swali langu kwako n wapi umeona vifo au hata umati mkubwa wa watu ukiwa na dalili za coronavirus.?
Kwani kipimo sahihi cha kujua katika nchi kuna ugonjwa fulani ni umauti mkubwa au kuona watu wakiwa na dalili za ugonjwa huo?Kwani Tanzania si kuna magonjwa mengi tu kama vile ukimwi,Malaria,e.t.c,je kukosekana kwa umauti mkubwa na kutokuonekana watu wenye dalili za ukimwi au malaria inathibitisha na kuhalalisha kuwa Tanzania hakuna ukimwi wala Malaria?Unaelewa kuwa Tanzania hakuna umauti mkubwa kutokana na Malaria wala ukimwi achilia mbali kuona dalili za watu wenye magonjwa hayo lakini hilo halihalishi kuwa magonjwa hayo hayapo?
 
Nihakikishie kuwa coronavirus ipo nchini.

Maelfu ya wanafunz wameenda shule pamoja na vyuoni na wamerudi wakati wa likizo na wengine bado wapo shuleni lkn hakuna hata taarifa ya kifo kutokana na coronavirus mpaka sasa, ww hapo mtaani kwenu au unapofanyia kazi au katika mizunguko yako umeona wapi kuna dalili ya coronavirus.?

Kama ishu n kupimwa, mbona nchi zingine watu wanakufa kwa corona ht bila kupimwa lkn hapa Tz umeona wapi watu wanakufa kiasi hicho ad tuseme h n corona.?

Hakuna haja ya kuumizana kichwa kumuelewesha mtu mzima mwenye akili timamu lkn kama kusoma huwezi hata picha huelew kuwa Tz hakuna coronavirus.?
Corona ipo na watu wana hizo dalili wengj tu!Mimi mwenyewe nimetoka kuugua,nadhani Corona maana dalili zote nilikuwa nazo!
 
Mm pia nmesema kuhusu watu kujaa viwanjan, baa na sehemu nyingine lkn mbona hatufi kwa corona kama hao wengine, lkn kila anae-reply koment yangu ananipa maneno matupu bila chochote cha maana.

Itoshe kusema nashukuru sana Mungu kwa kutuepusha na huu ugonjwa japokuwa kuna baadhi ya watanzania wajinga wasioamini
Watanzania wengi inawezekana wanapata hivi virusi vya huu ugonjwa lakini wako asymptomatic. Yani hawaumwi wala kuonesha dalili. Au wanaumwa na kupata dalili mpaka wanapona kwa kujiuguza wenyewe tu.

Kuna dhana kwamba watu wa tropics huko Afrika tumepitia magonjwa mengi, miili yetu ina kinga fulani. Ndiyo maana hata mafua ya kawaida yanawatesa sana wazungu, lakini Africa ni kitu cha kawaida sana.

Kuna dada mtaani kwangu hapa, Mmarekani mzungu. Huwa anapimwa kila wiki kutokana na kazi yake. Wiki iliyopita amepimwa akakutwa na Covid-19, lakini hana dalili yoyote. Bila kupima asingejua.

Sasa Tanzania huko, watu wengi sana wamepata hivi virusi lakini hata hawakuona dalili au wanepata dalili chache sana.

Kitu cha muhimu ni kwamba amejijua hali yake na hataki kuuwaambukiza watu wengine kama wazee, wenye magonjwa etc.

Na huwezi kutabiri ugonjwa utakavyokuathiri, hivyo ni bora ku hukua tqhadhari kabla ya hatari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom