The Catholic Church is the Biggest Financial Power on Earth

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,415
74,067
“The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.

. Their wealth is so big that they could create sustainable social programs to end famine on Earth; they have the power and the means to oppose wars; they have the financial resources to create an Eco-friendly planet — the biblical heaven on Earth.
 
Vita vya kibiashara vinavyochochewa na udini,, inahitajika busara ya hali ya juu kutuvusha hapa na sio kiburi, majivuno ama ubabe,, wale watakimbilia Dubai na wengine watakimbilia Vatican,, wenzangu na mimi tutabaki hapa mpaka tumalizane,,
 
Ni ujinga kudhani kanisa au msikiti linaweza kusimama dhidi ya serikali na likashinda.

Haya mambo mnayachochea kidogokidogo yakipamba moto msikimbie.
usibishe ndivyo ilivyo. Hata nyie wengine mnaabudu dini iliyoanzishwa na hao, shikeni adabu zenu na mkae kimya hamuijui katoliki
 
usibishe ndivyo ilivyo. Hata nyie wengine mnaabudu dini iliyoanzishwa na hao, shekeni adabu zenu na mkae kimya hamuijui katoliki
Binti mbona kama una stress za kukosa mume?

Unavamia wanaume na kuanza kuwashikisha adabu uogopi?

Au hujafundishwa adabu na kuheshimu wanaume tena ambao wanaweza kukuoa?
 
Yalianza kabla wewe hujazaliwa,Umeyakuta,Watayakuta na utayaacha

Usipanic

Jaribu kuvaa miwani ili uweze kuona yasioonekana

Sio kila tajiri alifanya kazi kwa bidii na sio kila maskini ni mvivu
muambie ukweli huyo, haijui katoliki na nguvu zake duniani. Hawa ndugu zetu wa upande ule wa mama mdogo wetu ni wabishi na akili zao hazina uwezo wa kuchakata mambo na kujua mengi ya dunia hii. Hicho hicho wanachokiabudu wao kimetengezwa na katoliki na katoliki ina code yake kuzima au kuwasha. Mambo ya rohoni yakija mwilini kuyang'amua yataka akili ya hali juu. Hawa ndugu zetu wa ijumaa wawe wapole tu na wajue wanachokiabudu kiliasisiwa na kina nani. Hao waasisi ndio hao wanaowabishia. Usichezee katoliki na usiichukulea poa
 
“The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.

. Their wealth is so big that they could create sustainable social programs to end famine on Earth; they have the power and the means to oppose wars; they have the financial resources to create an Eco-friendly planet — the biblical heaven on Earth.
Sasa kama ni matajiri kihivyo, mbona hawa wa kwetu wanatusambazia bahasha za michango kila siku. Na usipochanga wanakuwekea fatwa kwamba ukivuta tu, utajizika mwenyewe.
 
Ni ujinga kudhani kanisa au msikiti linaweza kusimama dhidi ya serikali na likashinda.

Haya mambo mnayachochea kidogokidogo yakipamba moto msikimbie.
Kumbuka serikalini kuna waumini wanaowasikiliza viongozi wao wa dini. Serikali sio rais tu. Bahati mbaya Tz tunadhani rais ni mungu mtu hata akiwa mjinga tunashangilia ujinga wake
 
“The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.

. Their wealth is so big that they could create sustainable social programs to end famine on Earth; they have the power and the means to oppose wars; they have the financial resources to create an Eco-friendly planet — the biblical heaven on Earth.
Mwenye masikio na asikie
 
Back
Top Bottom