One mad country on earth!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,416
701437569.jpg
 
Dah.

Umenikumbusha kuna mgonjwa wangu alikuwa anapumulia mashine.

Ngoja nitafute habari za maendeleo.

Halafu tunaambiwa hakuna wagonjwa wapya.
Angalia nchi ambazo zinaizunguka Tanzania hapo,zina rangi nyekundu fulani hivi ambayo inawakilisha kiwango cha juu cha maambukizi halafu Tanzania inasoma zero wakati Corona ni ugonjwa ambao ni Pandemic!
 
Tupo vizuri nchi yetu kukabiliana na magonjwa ya kibeberu. Uku Zanzibar siku izi wanatua warusi utafikiri wanajiandaa kuteka visiwa. Wafaransa nao pamoja na karantini kwao lakini hawakubali lazima waje Zanzibar. Watu Europe wametumia loop hole, wanatafuta nchi ambayo haijaweka red flag Tanzania, wanaenda hapo wanachukua ndege wanakuja zao :D wakirudi wanasema hamna korona Tanzania! wanasema wao sio serikali yetu jamani.

Tumewaweza mwaka huu.... Mambo ya uchaguzi na ICC wameufyata baada ya kelele zao naona
 
Corona ipo nchini!Kama haipo kwanini hawapimi?
Nihakikishie kuwa coronavirus ipo nchini.

Maelfu ya wanafunz wameenda shule pamoja na vyuoni na wamerudi wakati wa likizo na wengine bado wapo shuleni lkn hakuna hata taarifa ya kifo kutokana na coronavirus mpaka sasa, ww hapo mtaani kwenu au unapofanyia kazi au katika mizunguko yako umeona wapi kuna dalili ya coronavirus.?

Kama ishu n kupimwa, mbona nchi zingine watu wanakufa kwa corona ht bila kupimwa lkn hapa Tz umeona wapi watu wanakufa kiasi hicho ad tuseme h n corona.?

Hakuna haja ya kuumizana kichwa kumuelewesha mtu mzima mwenye akili timamu lkn kama kusoma huwezi hata picha huelew kuwa Tz hakuna coronavirus.?
 
Hivi ni mkuu gani wa shule au daktari atasema amepata mgonjwa wa korona ?
Nihakikishie kuwa coronavirus ipo nchini.

Maelfu ya wanafunz wameenda shule pamoja na vyuoni na wamerudi wakati wa likizo na wengine bado wapo shuleni lkn hakuna hata taarifa ya kifo kutokana na coronavirus mpaka sasa, ww hapo mtaani kwenu au unapofanyia kazi au katika mizunguko yako umeona wapi kuna dalili ya coronavirus.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom