Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,836
Hillary Clinton Verified account @HillaryClinton This is horrific. We cannot allow this man to become president.
Haya ni maneno ktk kwa Mpinga Kristo Hillary Clinton akiongelea kuhusu video ya D.Trump iliyotolewa kuhusu Wanawake!
Hillary anasema kwamba hawawezi kumuacha mtu kama D.Trump kuwa Raisi wa USA, hivi kati ya D.Trump na Mume wake Bill Clinton ni yupi devil?
Bill Clinton alinyonywa uume live kwenye USA White House (Oval Office), alitembea na Wanawake kibao tena ndani ya Ikulu lkn Hillary Clinton leo hii anasema kwamba Trump hafai kuwa Raisi kwa sababu ya maneno yanayosadikiwa kusemwa mwaka 2004?
Kama kweli watu wa USA watamuamini huyu mpinga Kristo Clinton na kumchagua basi, lile jahazi la USA lililokwishaanza kuzama tangu mpinga Kristo Obama litaishia kabisa, kwa maana laana ya Mungu iliyoletwa na Obama na Clinton kwa kumuua Gadafi inawaandama na itaendelea kuwaandama!