Mchungaji ampa kipondo kikali kondoo wake kanisani

Mchungaji ampa kipondo kikali kondoo wake kanisani

Huyo jamaa nae bwege, hapo unapiga ndosi moja matata na kung"oa meno kadhaa, hiyo ndiyo ya wachungaji wahuni.
 
Nyumba ya ibada ilitakiwa iwe sehemu yenye amani,upendo na kuheshimiana,
Sasa mkiigeuza Nyumba ya ibada kua ni ulingo wa ngumi,mnakua mnatoa picha gani kwa waumini wenu?

Haijalishi nani ana makosa ila huyo mchungaji alitakiwa awe na hekima zaidi na kuepusha hiyo shari ya kuharibu taswira ya Nyumba inayojulikana kama Nyumba ya ibada.
 
Hakuna mchungaji hapo, hana busara uvumilivu na hekima ambazo mchungaji wa kweli anatakiwa kuwa na sifa hizo
 
Back
Top Bottom