On bed kuna wanaume wa aina nne

On bed kuna wanaume wa aina nne

Nimefuatilia huu uzi tangu mwanzo hadi mwisho, nimegundua jambo moja tu "wanawake wa jamii forum mko juu katika sanaa ya ngono" mnq experience iliyovuka viwango. Nashauri anzisheni shule ya kufundisha masuala ya kungonoana, manake hakuna sehemu ambayo hamjawahi fanyia, kitandani, jikoni, kwenye coach, majini, ktk gari, juu ya miti, etc etc etc. Da kaazi kweli kweli.

Aisee umenichekesha sana,sasa watapewa usajili kweli?if so mamlaka gani?NACTE,TCU,NECTA AU VETA???
 
Khaa!! Huwezi kupiga game kisawasawa kama ofisini uuna vimeo vimesimama..ndiyo ukweli... Siku yako yahusika
 
Hahaaaa huu uzi umeibuliwa tena!!
atoto na cute b njooni msikie mawazo yangu enzi hizo za ujana, sijui kama mliuonaga huu uzi, nahisi mlikuwa hamjazaliwa!!! au mlikuwa hamjajua kusoma na kuandika, loh!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa huu uzi umeibuliwa tena!!
atoto na cute b njooni msikie mawazo yangu enzi hizo za ujana, sijui kama mliuonaga huu uzi, nahisi mlikuwa hamjazaliwa!!! au mlikuwa hamjajua kusoma na kuandika, loh!!

Khaaaah kweli hizo ni enzi za uvulana wako, teh teh
 
Last edited by a moderator:
mito, ina maana kundi la nne hata hizi dawa zetu sa asili za kuongeza nguvu za kiume kama MZAKARU, ZOKA, FARU, MKUYATI, DUME, SHOKA, KAMANYOLA, KAMCHAPE na kadhalika, zote hazifui dafu kweli?

ukiwa kundi namba moja hadi mbili ukatumia izo dawa lazima ushushwe hadi kundi namba nne maana kutakua hakuna namna itabidi "upigwe" tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom