wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,357
Sasa kulala nilale nae mie kubisha ubishe wewe? Majangaa
Koh Koh acha me niendelee kuzunguka Zinduka 😫😫😫
Sasa kulala nilale nae mie kubisha ubishe wewe? Majangaa
naombeni kuuliza hv mfano mwanamke yupo kundi no 1 halaf mwanaume kundi namba tatu hv hapo kuna uwezekano mkubwa wa mke kuchepuka nje!!!!!
Koh Koh acha me niendelee kuzunguka Zinduka 😫😫😫
Kwani we binafsi unaplay ngapi? Mbona unapigia sana magoli ya watu? We ni 4 au uko kwenye 3?
Niliwahi kusoma mahali kuwa dada zetu walioolewa na wazungu hawa-enjoy sex hivyo inabidi awe na wanaume wa kiafrika pembeni
ila wanajua manjonjo aisee bwana wee , wale naona vyakula vyao vya makopo vinawaletea shida, mmenikumbusha cheupw wangu duu kazi kubebwa kupigwa makisi tuuuj ukisema abdalla huyo waapi unshangaa kaishia kukumbatiwa kalala duuu.,
ushauri: ambao hamjatembea na wazungu usitembee na ambaye hana mihela maana sex hutaenjoy sana mda mwingi ni vidole ndivyo wanatumia (joke)

Na mi niko hapo kwenye best group mkuu, si unajua haya maisha ya online fake tupu, ahaaaa!!!
Naturally, kuna wanaume wa aina nne kutegemea na uwezo wao kingono:
1.Kundi la kwanza ni wale ambao wana uwezo mkubwa wa tendo la ndoa, yaani kwao erection is not an issue at all. Ukiolewa na mwanaume wa jinsi hii, jishike kweli kweli maana ni mwendo mdundo. Wanapenda mchezo kila siku, kila wakati hadi sometimes mwanamke anaona kero!
2. Kundi la pili ni la wale wenye uwezo wa wastani. Hawa wanaweza kuvumilia hata kama mtapanga ratiba yenu ya mchezo wenyewe.
3. Kundi la tatu ni la wale wenye uwezo mdogo wa kufanya tendo la ndoa. Hawa wanapata erection ya kuvizia. Wakati mwingine inabidi mwanamke afanyekazi ya ziada ili mzee asimame. Wanaume wengi wa kidhungu wako ktk kundi hili, nadhani wale mliowahi au mpo kwenye mahusiano na wanaume wa kidhungu mtakuwa mashahidi.
4. Kuna la nne ni la wale wasio na uwezo kabisa, yaani si riziki, nadhani wanaeleweka hivyo sina maelezo marefu kuhusu kundi hili.
Ushauri: ni muhimu kumjua mpenzi/mumeo yuko ktk kundi gani ili ujue namna ya kuishi naye vizuri kingono! Hii itasaidia kuepusha lawama na malalamiko ambayo yanatokana na nature.
Samahani kama ni marudio!
kwa wale ambao hawa-do mpaka wawe boosted na porn movies je? kundi gani hao?
Hahaaa humu wote tuko vizuri!!!!