On bed kuna wanaume wa aina nne | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

On bed kuna wanaume wa aina nne

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mito, Jun 18, 2012.

 1. mito

  mito JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,615
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  Naturally, kuna wanaume wa aina nne kutegemea na uwezo wao kingono:

  1.Kundi la kwanza ni wale ambao wana uwezo mkubwa wa tendo la ndoa, yaani kwao erection is not an issue at all. Ukiolewa na mwanaume wa jinsi hii, jishike kweli kweli maana ni mwendo mdundo. Wanapenda mchezo kila siku, kila wakati hadi sometimes mwanamke anaona kero!

  2. Kundi la pili ni la wale wenye uwezo wa wastani. Hawa wanaweza kuvumilia hata kama mtapanga ratiba yenu ya mchezo wenyewe.

  3. Kundi la tatu ni la wale wenye uwezo mdogo wa kufanya tendo la ndoa. Hawa wanapata erection ya kuvizia. Wakati mwingine inabidi mwanamke afanyekazi ya ziada ili mzee asimame. Wanaume wengi wa kidhungu wako ktk kundi hili, nadhani wale mliowahi au mpo kwenye mahusiano na wanaume wa kidhungu mtakuwa mashahidi.

  4. Kuna la nne ni la wale wasio na uwezo kabisa, yaani si riziki, nadhani wanaeleweka hivyo sina maelezo marefu kuhusu kundi hili.

  Ushauri: ni muhimu kumjua mpenzi/mumeo yuko ktk kundi gani ili ujue namna ya kuishi naye vizuri kingono! Hii itasaidia kuepusha lawama na malalamiko ambayo yanatokana na nature.

  Samahani kama ni marudio!
   
 2. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Ni kweli ila kama ulivyosema katik point namba 3. Kwa kweli kundi hili ni la wanaume wa kizungu na wengi wao huwa hawana nguvu kabisa kitandani. Wao wanataka kulambwa koni tu (blow jobs) mda wote, na kwa kuwa hawadindi kama sie waafrika hivyo utakuta wanakuwa hodari sana wa kunyonya wake zao. Yaani atalamba mkewe mpaka mk.undu ili mkewe aridhike na asiende nje. Mzungu anaona bora anyonywe au kunyonya kuliko kufanya tendo lenyewe (kujamiiana, siyo jamii forums, lol) . Wakati nilipokuwa shule nilikuwa nawashangaa sana marafiki zangu kwa nini wako hivi. Baada ya muda nikapata jibu, kumbe ndivyo wazungu walivyo. Utakuta mtu mwingine kijana tu mwenye nguvu zake lakini atakuambia hapendi kujamiiana zaidi ya kunyonwa. Shida kweli kwa dada zetu kwa kuumwa jaws na makoromelo kila kukicha kisa kulambishwa koni na gundi takatifu kama watumwa.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ni 'in bed' na siyo 'on bed'.
   
 4. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  haya tunashukuru kwa maelezo yako
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  na kwenye kochi je?
   
 6. mito

  mito JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,615
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  Haya mzee wa English
   
 7. mito

  mito JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,615
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  Ngoja Nyani Ngabu aje akujibu, teh teh teh
   
 8. mito

  mito JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,615
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kusoma mahali kuwa dada zetu walioolewa na wazungu hawa-enjoy sex hivyo inabidi awe na wanaume wa kiafrika pembeni
   
 9. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  mito, ina maana kundi la nne hata hizi dawa zetu sa asili za kuongeza nguvu za kiume kama MZAKARU, ZOKA, FARU, MKUYATI, DUME, SHOKA, KAMANYOLA, KAMCHAPE na kadhalika, zote hazifui dafu kweli?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  akimaliza kukujibu wewe......na mimi aniambie kwa jikoni.......

   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Semeni nyie mko wapi
   
 12. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahaha wacheni singizi wazungu bana mbona wanapiga miti tuu kwa kwenda mbele
   
 13. baraka607

  baraka607 JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Asa vipi kwa wale ambao tupo makundi yote' yaani four-in-one?!

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 14. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  utajitambuaje uko kundi gani? si mpka demu wangu aniambie au? nataka nijitambue niko kwenye namba ngapi. 1,2,or 3 ngoja niseme na chausiku ataniambia niko wapi
   
 15. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  huuuuuuuuuuuuuuuuuh hupitwi kwenye hizi mambo.
   
 16. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Mi wangu ni kati ya namba 1-2.
   
 17. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  mmmmh embu tirirìka? kwanin umesema hivyo?
   
 18. mito

  mito JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,615
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  Aaah acha utani Mtambuzi waliopo kundi hilo ndo walimzongo obama hadi akawahalalisha, maana hakuna tena dawa zaidi ya mhusika kushughulikiwa. Ila hizo dawa zinawafaa zaidi wale wa kundi la 3
   
 19. mito

  mito JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,615
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  Hongera, tena uwe unamsifia sifia ili azidi kujiamini zaidi, vinginevyo utashtukia ameanza kujichakachua mwenyewe (kwa punyeto, madawa ya kuongeza nguvu za kiume) na kuharibu urijali wake
   
 20. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kwa wale ambao hawa-do mpaka wawe boosted na porn movies je? kundi gani hao?
   
Loading...