OMG!! Jasson Collins is GAY

OMG!! Jasson Collins is GAY

Duh hili lijamaa jinsi lilivyo hata kama unapenda huo mchezo wa kishetwani likikuita chumbani usienda linaweza kukugeuka unawezakuta huo ni mtego wake ukienda kichwa kichwa utashangaa unarudi huku umejiinamia na mawazo tele kukichwa ha ah ha ha ha.

Jason-Collins-NBA-Coming-Out-Gay-2.jpg
 
Jamaa kua gay mbona sio issue? Issue ni kutembeza udaku. Hivi contributuon yake maishani mwako ni his play (and the entertainment he brings to your life) au his sexual life? How him being gay is an OMG case? Watu bwana!

You have said it all!
Watu wanafiki sana.Being gay inamhusu nn mtu?
Leo nimeshuhudia watu wanazozana hadi kutaka kupigana kisa Barack Obama kaonyesha support to this gay guy.
Nilishangaa kwamba his sexual orientation inawaongezea au kuwapunguzia nn.
Isitoshe there are so many good gay people - wema, wachapa kazi etc. Tena ukiwalinganisha na wenye kuwahukumu unabaki kushangaa zaidi.Wanawalinganisha na makaka poa wanaojiuza na ndio maana waliuliza " huyu NBA player ana shida gani kujifanyisha upuuzi huo?"Being gay ni tofauti na prostituting oneself!
 
He he he he, tena goes for a pedicure in public, kama vile bar na anatengenezwa na mwanamme mwenzie

Hahaha. I think that kind of a guy has very neat nails and goes for a pedicure regularly lol
#gay stuff
 
Ha ha ha, kuna siku niliona mwanammke anatengenezwa kucha bar

Tena na wale wanaopitisha urembo kwenye bar, nikabaki what?!!

Hamna sasa! He does a pedicure in a ladies saloon na stori anachangia. I bet anatinda na nyusi hehehe.
 
Watu na maisha yao na ww na maisha yako...**singing**

Mtu kuwa Gay ni maisha yake nimeshakutana nao wengi sana na bado sijaona mabadiliko yoyote kwenye mwili wangu au maisha yangu

Sent from BlackBerry
 
Shhhhh....wapo humu humu. Uchafu tu na kukosa ustaarabu. Huwa najiuliza hata usafi wa vile vyombo unakuwaje sasa. Tembea ujionee.
Ha ha ha, kuna siku niliona mwanammke anatengenezwa kucha bar

Tena na wale wanaopitisha urembo kwenye bar, nikabaki what?!!
 
You have said it all!
Watu wanafiki sana.Being gay inamhusu nn mtu?
Leo nimeshuhudia watu wanazozana hadi kutaka kupigana kisa Barack Obama kaonyesha support to this gay guy.
Nilishangaa kwamba his sexual orientation inawaongezea au kuwapunguzia nn.
Isitoshe there are so many good gay people - wema, wachapa kazi etc. Tena ukiwalinganisha na wenye kuwahukumu unabaki kushangaa zaidi.Wanawalinganisha na makaka poa wanaojiuza na ndio maana waliuliza " huyu NBA player ana shida gani kujifanyisha upuuzi huo?"Being gay ni tofauti na prostituting oneself!

They are claiming that Benghazi 4 waited 7 hours, got no response, but Jason Collins says he's gay and that's when Obama gets into gear & picks up the phone!
 
Mimi nilipoona mdau kam cc mwenzake, kitu cha kwanza nilijua anataka info zaidi. Sababu nadhani hata mimi nimezoea kuona anajua mengi ya marekani na sio eti sababu ya topic hii kumuhusu.

Naona wengine wameirukia tu, nimefurahi ameeleza kuwa hakuwa na nia mbaya kam wengine na sie tulivyofikiri.

Naona mmetukanana, jamani tuepushe hayo. Mbona kuna usi mingi humu za pumba watu mnachangia bila matatizo na ku cc ana kama kawa.

Natumaini mtakuwa mme elewana sasa.
 
They are claiming that Benghazi 4 waited 7 hours, got no response, but Jason Collins says he's gay and that's when Obama gets into gear & picks up the phone!

That's because the whole gay rights issue is political.

Gays are a core and influential constituency for the Democrats and Obama would not let such an opportunity to establish his bona fides go to waste.

Remember back in '08 when he was first running for president he said marriage was between a man and a woman but last year he came out and said that his position on the issue has evolved and now he supports gay marriage.

No wonder Newsweek declared him 'the first gay president' and I'd bet you the gays voted for him in droves in the last November election.

obama-newsweekx-inset-community.jpg
 
Gays are a core and influential constituency for the Democrats and Obama would not let such an opportunity to establish his bona fides go to waste.

Ina maana ma-conservative wa Marekani na wale wa Uingereza wanatofautiana kuhusiana na ushoga?
 
Hahahaaaaa....."Now we know why the President needs a teleprompter at every speaking event"

President Obama says gay NBA player can still "bang with Shaq"

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom