Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,119
- 136,860
Ina maana ma-conservative wa Marekani na wale wa Uingereza wanatofautiana kuhusiana na ushoga?
Unajua public opinion kuhusiana na ushoga kwa ujumla na hususan ndoa za kishoga imebadilika sana sasa hivi. On points ni vigumu sana kupinga hizo ndoa na hiyo, kwa maoni yangu, imesababisha watu wengi kutokuwa na tatizo na ndoa za aina hiyo.
Hiyo pia imepelekea hata baadhi ya conservatives sasa hivi kuuunga mkono ndoa hizo. Ila kwa ujumla Democrats wanaunga mkono kwa wingi zaidi kuliko Republicans ingawa hiyo haimaanishi hakuna conservatives walio gays na hakuna Democrats walio conservative ambao wanaopinga hiyo lifestyle.
Mwishowe nadhani states nyingi zitaridhia tu hizo ndoa.