Imenikumbusha mbali sana..naintini kweusi tulikuwa tuna sema hivi
1.Tupendane tusiachane mpaka ziwa Victoria likauke ndo tutaachana
2.Pokea salamu za upendo na mapenzi wewe uliyembali ya upeo wa macho yangu
3.Sili silali ila nauwaza wewe uliyembali na upeo wa macho yangu..
Ujana huo wa enzi hizo :Siku hizi ni facebook,email na simu laaall.Sisi ilikuwa ni barua tu
Kila zama zina mambo yake, Ingawa those were memories kwa kweli. Tulikuwa tunajilipua haswaa, unakuta mtu kaandika barua halafu kaificha katikati ya daftari, then anaogopa kumpa muhusika, lol. Wengine zilibambwa kabla hazijamfikia mlengwa. T was funny indeed
Imenokumbuisha Nikiwa Medical school Muhimbili nikiwa 1st year tunapigwa shule hasa ya Biochemistry na Dr Nyambo ikifika ijumaa tunasema TGF(Thank you God its Friday) yaani hapo watoto tumechoka mpaka mikia. Sijui Dr Nyambo yupo hum lakini ni mwl aliyetisha sana enzi zake. Akikukamata hutoki hasa wanafunzi wa Nursing alikuwa akiwadka na kudisco, nice tulimember where we come from
hahaa nimekumbuka enzi za zamani primary, nilikiandikia kishori letter kumbe kilikuwa hakinimaindi kikapeleka barua kwa ticha,
dah kilichotokea hapo.....:mmph:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.