OMG its Friday!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
267204_210779745624094_100000762111164_529051_2211395_n-1.jpg

Mambo ya ujana.
 
hahahaha
Mchungaji lts Friday lest Us Meet under the "Bamboo tree" Leo Mbege ya Mama Koku imetulia!
 
Imenikumbusha mbali sana..naintini kweusi tulikuwa tuna sema hivi
1.Tupendane tusiachane mpaka ziwa Victoria likauke ndo tutaachana
2.Pokea salamu za upendo na mapenzi wewe uliyembali ya upeo wa macho yangu
3.Sili silali ila nauwaza wewe uliyembali na upeo wa macho yangu..
Ujana huo wa enzi hizo :Siku hizi ni facebook,email na simu laaall.Sisi ilikuwa ni barua tu
 
Kila zama zina mambo yake, Ingawa those were memories kwa kweli. Tulikuwa tunajilipua haswaa, unakuta mtu kaandika barua halafu kaificha katikati ya daftari, then anaogopa kumpa muhusika, lol. Wengine zilibambwa kabla hazijamfikia mlengwa. T was funny indeed
 
Na ukitaka kujua watu walimeet hapo under the mango tree, utakuta majani yamengolewa yote pamekauka kauuuuu!
 
Imenokumbuisha Nikiwa Medical school Muhimbili nikiwa 1st year tunapigwa shule hasa ya Biochemistry na Dr Nyambo ikifika ijumaa tunasema TGF(Thank you God its Friday) yaani hapo watoto tumechoka mpaka mikia. Sijui Dr Nyambo yupo hum lakini ni mwl aliyetisha sana enzi zake. Akikukamata hutoki hasa wanafunzi wa Nursing alikuwa akiwadka na kudisco, nice tulimember where we come from
 
hahaa nimekumbuka enzi za zamani primary, nilikiandikia kishori letter kumbe kilikuwa hakinimaindi kikapeleka barua kwa ticha,
dah kilichotokea hapo.....:mmph:
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom