Kama yeye ni go getter basi namshauri aanzishe biashara, kwasababu inalipa sana US. Na kama ni mambo ya technology ni rahisi sana kwasababu haitaji hata kuwa na ofisi. Yeye anaweza tuu ku-incorporate kampuni yake Nevada lakini address yake ikawa popote pale US. Akatengeneza ka website uchwara halafu akaanza kutake order kutoka craigslist. Yeye anacho fanya ni ku-send job India halafu wakisha mfanyia kazi anawapeleke wateja wake kazi iliyo kamilika. Analipwa $$$ then ana rinse na ku-repeat, mambo yakiwa mazuri ana scale up.wewe unatafuta hiyo kazi ya mil 3, mwenzio ana ambitions kubwa zaidi
Kujenga familia ni kukaa mke na mume pamoja.kwa sababu hajasema hajajenga familia.
Nasisitiza hakuna nchi inaitwa europe, kutaja kama ulikuwa UK. Holand, German, Spain, France n.k hakuwezi kukutambulisha ki namna yeyote ile sababu ni Watanzania wengi sana wameishi na wanaendelea kuishi kwenye nchi hizo. na kama unataka mawazo ya watanzania waliopo U.S,A labda ungeomba tukupe blogu zao, humu JF hawaingii watu wajingajinga.
Personally sielewi kwa nini umekomalia hakuna nchi ya Euro kwa nini huulizi kua ni bara,bloc,mkoa,wilaya au kijiji? maana mie sijaona mtoa maada kwenye post yake aliposema kwamba aliishi nchi inayoitwa Euro but amesema ameishi Euro....Euro ni kifupi cha Europe ambacho kinatumiwa sana kwa maongezi ya kawaida sawa na tunapotumia Tz or Bongo badala ya Tanzania na kumbuka European Union ni free zone kwa member states wote na wana visa/pesa moja except U.k
so watu wengi waliko ndani ya European union hususani wageni utakuta yuko Italy,Sweden,France,Poland etc kwa ajili ya kupiga box..so akisema kaishi Euro which means Europe mie namwelewa vizuri sana kwa sababu mwenyewe nimeishi na bado naendelea ishi kwenye nchi tofauti za Europe....
Kwa mtoa maada kaka mie nakuomba ufanye kazi ya prof yako huko nyumbani (Tz) jijenge ukiwa hapo hapo nyumbani bt nenda ka-spend time na wife kila unapopata nafasi au yeye aje Tz...na kumbuka mara nyingi 'base' nzuri ya kujijenga na kuimarisha maisha waga ni homeland huku kwingine ni kutafuta tu.....
Nadhani umetumia muda mwingi sana kunielimisha mimi kuhusu europe, bahati mbaya usichokijuwa mimi katika shenghen countries sijafika Norway, Belgium, luxernborg na France tu. na sikuwahi kupiga box mtoni, all was vacasion trips. na hapa ninapotambaa na keybord nina mailage za kutosha za kusafiri bure kwenye kadi yangu ya swiss air.
Unamshambuli kwa vile kasema Euro, mbona humshambulii hajataja sehemu anayokwenda marekani? Zote Europe na Marekani ni general names za mkusanyiko wa nchi mbalimbali (nadhani Marekani ni muungano wa federal states).
Samahani kama nitakuwa nimekosea.
Kwa upande mwingine, unamaanisha watanzania wanaoishi marekani wenye blogu ni wajingawajinga?
haupo serious kijana, piga chini US wtf with US? i hate usaWanajf mnaoishi USA naomba maoni yenu.
Mie nipo TZ ila mke wangu anaishi US na nimefanikiwa viza ili nije nimjoin . Tatizo ni kuwa nimepata kazi ya prof bongo na nategemea mshahara wa kama 3million, sasa nipeni maoni yenu kama ni ww ungechagua kazi au kwenda US.
Nmeishi Euro kama miaka sita hivi nimerudi recently baada ya kuchoka, hivyo najua nn kitatokea nkienda US. Wife kazi zake ni hizo hizo wanazofanya wageni na mara nyingi analalamika kuchoka kwani analala hm nights 3 tu siku zingine ni kazi 24 hrs.
Naomba maono yenu esp kutoka kwa watu waliotoka bongo miaka au siku za karibuni.
Ahsante
kuuliza ni kosa siku hizi? kwa majibu yako ya kijinga nahisi na wewe ni mjinga uliyekosea njia uko JF!!!!
thanx people, mke wangu ni US citizen na amekuwa huko over 10yrs.
mhh nnavyotamani kwenda majuu,sina tu wa kunialika japo nkatembee wiki ntagharamia mwenyewe kila kitu:rain:
Wanajf mnaoishi USA naomba maoni yenu.
Mie nipo TZ ila mke wangu anaishi US na nimefanikiwa viza ili nije nimjoin . Tatizo ni kuwa nimepata kazi ya prof bongo na nategemea mshahara wa kama 3million, sasa nipeni maoni yenu kama ni ww ungechagua kazi au kwenda US.
Nmeishi Euro kama miaka sita hivi nimerudi recently baada ya kuchoka, hivyo najua nn kitatokea nkienda US. Wife kazi zake ni hizo hizo wanazofanya wageni na mara nyingi analalamika kuchoka kwani analala hm nights 3 tu siku zingine ni kazi 24 hrs.
Naomba maono yenu esp kutoka kwa watu waliotoka bongo miaka au siku za karibuni.
Ahsante
Matola bana muwie radhi mwenzio hajasema nchi ya Euro rudi usome vizuri bana acha kumsumbua ni vizuri ukamwelimisha. Mimi nimemwelewa hakutaka kuwa specific kutaja jina la nchi ndio maana amesema ameishi Europe. It could be any country in Europe ni sawa na kusema North America sio kwamba ni Marekani tu ni pamoja na Canada sasa kipi ambacho hujaelewa hapo mkuu.
Kweli Pakawa, ni kama wadhungu 'wanavyosemaga' am goin' to Africa this winter, duuh jamaa kamshikia bango kinoma mwenzake kumbe anachemka mwenyewe ha ha ha ha teh teh tehe hi hi hih ih !!!!!:decision::decision:
Shosti ni pm nitakualika teh teh teh uje kusaidia kubeba box usilie halafu ukimbie fumilia tuuuuuuuuuuuuu mpaka miaka 20 iishe.