Oman wanazungumza Kiswahili pia?

Oman wanazungumza Kiswahili pia?

Nakubaliana na wewe mkuu.
Kuna waarab wengi waishio mwanza wana ndugu wa damu huko Oman.

Nilisoma na mwarab mmoja ambaye hivi sasa ni mwanajeshi wa rank ya juu huko oman.
Mzee wao alikuwa mbaguzi sana, hakupenda watoto wake kuchangamana na ngozi nyeusi hasa ktk mahusiano ya mapenzi, ilikuwa kijana akifika umri wa barehe anamhamishia oman ili akaoe au kuolewa na waarab wa kwao.

Ulitaka apate watu wenye akili za kukimbizana na mienge huku wakinywa mbege??
 
Nimeona baadhi ya watu waliokuja na Meli ya mfalme wa Oman wakizungumza Kiswahili vizuri. Nilitaka kujua kama kwenye taifa hilo uzungumza Kiswahili
Huyo waziri wa Oman kwa mujibu wa historia alizaliwa zanzibar
 
Ama kweli we mavipunda unajua zanz lazma iwe dubai ikitoka kwenye muungano ndo mana wakulu wanakomaa usivunjwe bara tukaaibika
Sudan wako huru na wanaongea kiarabu na wengi tu ni machotara wa kiarabu ila hapako kama Dubai. Sio rahisi hivo.
 
Unajua kwamba sudani ilikua ni egypt kbla ya kujitenga ndo mana unaona watu wa sudani na egypt wanafanana hata tmaduni nasili piah asa utasemaje sudan iendele km dubai ikiwa tu sudan ilikua koloni la misiri
 
Na hiyo ndio sababu moja wapo kwa CCM kung'ang'ani huu mungano,CCM wanajua fika kuwa kama mungano utavunjika CCM itaumbuka,kwa maendeleo yatakayo patikana Zanzibar utakuwa ndio mwisho wa CCM Tanganyika kwani wananchi watajua kuwa CCM ni wababaishaji tu...,

Moja katika propaganda zao Kubwa ambayo CCM imefanikiwa kuwasambaratisha wazanzibari ni msemo wa "Warabu watarudi Zanzibar",Moja kati ya ujinga mkubwa wa CCM Zanzibar kuikubali propaganda hii na kuzidi kuwaminya wazanzibari wenzao,wanachosahau kuwa kama maendeleo yatakuja Zanzibar yatawanufaisha wazanzibari wote wakiwemo CCM na wasio wanachama wa CCM...

Waswahili wanasema "Mgaa gaa na ubo hali wali makavu",hawa wazanzibari badala ya kukaa na kula meza moja na wenzano wa Oman wao wanaikubali hii propaganda ya kubaguawana....

Kule Oman waziri wa Elimu ni mzanzibari wazairi wa Mafuta ni mzanzbari,wazairi wa Utalii ni mzanzibari wenye vyeo vikubwa jeshini ni wazanzibari,waprofesa na watu wenye elimu kubwa katika nyanja tafauti ni wazanzibari waliko karibu na Mfalme watoa ushauri ni wazanzibari..

Nchi ya Oman iko tafauti na nchi nyengine za Kiarabu imendelea sana,watu wake wanaishi maisha mazuri,kwa wle wanaoishi ulaya huwezi kumuona Muomani anaishi kwa kutafuta maisha ulaya,utawaona warabu wengini tu .....
Hiyo propaganda imeshaanza kufeli kwenye mambo ya msingi wale wapemba huwaga wanasomana. Mfano mzuri ni suala la mafuta kutolewa kwenye mambo ya Muungano kwao tayari meli za Oman zenye vifaa vya kisasa zimeanza kutambua maeneo yenye wese
 
Sudan wako huru na wanaongea kiarabu na wengi tu ni machotara wa kiarabu ila hapako kama Dubai. Sio rahisi hivo.
Hujaelewa hoja.. mfano wa Sudan Kusini haulandani na hoja yangu.. Hivi mmatumbi mwenzangu unajua kwamba Zanzibar ilikuwa ndio nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kutumia umeme, simu,kuwa na reli na muda huo ilikuwa ikiongozwa na wa Oman
 
Ama kweli we mavipunda unajua zanz lazma iwe dubai ikitoka kwenye muungano ndo mana wakulu wanakomaa usivunjwe bara tukaaibika
Nimefanya kazi Zanzibar na nimeowa kule nawajua vyema shemeji zangu..Tukivunja leo Muungano wao watayumba kidogo tu ila wakikaa sawa wanatuacha kwa kasi. Wasomi wao wengi wapo abroad wanarutubisha nyuklia nenda Canada, USA, UK ,Scandanavia, nk utawakuta wapemba kule wanachakarika.
 
Ila tujiulize kwanini hawataki kurudi nyumbani wanogopa kutawaliwa na viongozi hata km watasema jambo hili si zuir ila viongozi wetu wataanza kuwalazimisha jambo lifanye hata kama kuna ulihali wa kutofanyika
 
98% na ndiyo maana tunaambiwa÷
kiswahili ni lugha nasibu iliyoanzia pwani ya Afrika mashariki ambapo wenyeji wa UPWA huo uliitwa "aswahili" au "sawahili".
Huwezi kubase kwenye utafiti wa kihistoria tu pekee na ukafikisha hizo % ni nyingi sana pia sio sahihi.
Utafiti wa kihistoria na kisayansi unaonesha kiswahili ni kibantu na huu ndio unakubalika 100%.
 
Oman hakuna binadamu hata mmoja aliyepelekwa huko Kwa sababu ya Utumwa. Wanunuzi wa watumwa walikuwa ni makanisa ya wazungu.Na katika kuziba historia Kwa kujifanya kujenga makanisa zile sehemu zilizokuwa na masoko. Amka kijana
Hakika hukusoma, husomi na hutosoma pia hauko tayari kudadisi na kuujua ukweli kuhusu historia ya Sultani wa kwanza wa Kiarabu Seyyid Said kuhamisha makao yake makuu kutoka Muscat (Oman) kwenda Zanzibar mnamo mwaka 1840

Lakini hata pia huna maarifa juu ya kanda mbalimbali ambapo biashara ya utumwa ilifanyika. Na kama unajua, basi huenda umeamua kuitupa historia chini kwa ajili ya maslahi fulani fulani.

Hukusoma na husomi kuhusu biashara ya utumwa iliyokuwepo Afrika? Nani walikuwa vinara wa biashara hii hapa Afrika Mashariki? Nani walikuwa vinara wa biashara hii Afrika ya Kati? Nani walikuwa vinara wa biashara hii Afrika ya Magharibi yenye jina maarufu kama "Biashara ya Pembe Tatu ambayo kwa kizungu ilijulikana kama " Triangular Trade au Trans Atlantic Slave Trade?"

Ukiamua kuziba masikio na kufumba macho kwa sababu tu hupendi kuona au kusikia, wenye kuupenda ukweli watausema tu.

Lakini pia kumbuka ya kuwa Jukwaa hili limebeba watu wa kila kada, rika. Kuna wale wachambuzi wa mambo kulingana NA miktadha husika. Si kila mtu anaandika mada au kutoa mchango wake kishabiki kama wewe. Nakuagiza na sikuombi "Uamke were uliyelala"

Uwe na siku njema popote ulipo
 
Nakuambia tena Lete ushahidi wa MTU mmoja Tu aliyetoka Oman ambaye babu yake alikuwa mtumwa. Lete ushahidi wa Mzanzibari mmoja Tu ambaye babu yake alikuwa mtumwa.Usituletee hadithi za kutunga za CCM na kanisa lake la Katoliki. Subiri ukakimbizane na mwenge
 
Kiingereza ni kimoja pia,hao wengine wameamua kuumiza matamshi ya baadhi ya maneno,ndiyo maana unaambiwa kuna FORMAL ambayo ni ya UINGEREZA hakuna kiingerza cha Naijeria wala kongo,isipokuea INTONATION tu na hiyo inatokana na lugha zao wanazotumia.
Usijidanganye kama kuna kiingereza cha KIHAYA wala KiSUKUMA,ni lafudhi na matamshi tu yaliyoathiriwa na lugha fulani ama za makabila au Mataifa,unawezaje kusema KIINGEREZA cha NAIJERIA wakati umeshasema"KIINGEREZA?"
HII MAANA YAKE NI LUGHA YA UK.
Usiwe mvivu wa kufikiri.
mkuu kiingereza formal kinaitwa RP. sijui unakijua hicho
 
Hakika hukusoma, husomi na hutosoma pia hauko tayari kudadisi na kuujua ukweli kuhusu historia ya Sultani wa kwanza wa Kiarabu Seyyid Said kuhamisha makao yake makuu kutoka Muscat (Oman) kwenda Zanzibar mnamo mwaka 1840

Lakini hata pia huna maarifa juu ya kanda mbalimbali ambapo biashara ya utumwa ilifanyika. Na kama unajua, basi huenda umeamua kuitupa historia chini kwa ajili ya maslahi fulani fulani.

Hukusoma na husomi kuhusu biashara ya utumwa iliyokuwepo Afrika? Nani walikuwa vinara wa biashara hii hapa Afrika Mashariki? Nani walikuwa vinara wa biashara hii Afrika ya Kati? Nani walikuwa vinara wa biashara hii Afrika ya Magharibi yenye jina maarufu kama "Biashara ya Pembe Tatu ambayo kwa kizungu ilijulikana kama " Triangular Trade au Trans Atlantic Slave Trade?"

Ukiamua kuziba masikio na kufumba macho kwa sababu tu hupendi kuona au kusikia, wenye kuupenda ukweli watausema tu.

Lakini pia kumbuka ya kuwa Jukwaa hili limebeba watu wa kila kada, rika. Kuna wale wachambuzi wa mambo kulingana NA miktadha husika. Si kila mtu anaandika mada au kutoa mchango wake kishabiki kama wewe. Nakuagiza na sikuombi "Uamke were uliyelala"

Uwe na siku njema popote ulipo

NAKULETEA HII HISTORIA YA NAMNA BIASHARA YA UTUMWA ILIVYOKUWA IKIFANYWA NA MAKANISA YA WAZUNGU

GONGA HAPO CHINI

Biashara Ya Watumwa Ya Afrika Ya Mashariki
 
Wazanzibar ni wastaarabu?

Ustaarabu wao ni upi kwa mfano?

Zamani miaka ya 80 nilitembelea nchi moja ya Ulaya. Nikiwa hotelini ,Reception nikakutana na Sister mzee wa Kanisa katoliki mzungu . Nilipompa passport yangu alishituka sana , na kuniuliza kumbe wewe umetokea Zanzibar.???

Nikamjibu ndio. Hapo akaanza kuniuliza vipi hali ya Zanzibar hii leo ???

Akaniambia yeye alikuwa akiishi Zanzibar mpaka 1957 ndipo alipoondoka.

Akaniambia siku hizo Zanzibar kulikuwa hakuna jela, kwani kulikuwa hakuna crime. ilikuwa almost CRIME FREE COUNTRY

Ndugu yangu utajiri mkubwa wa Zanzibar ni ikhlak yaani tabia za kiislamu na hizo ndizo zinazopigwa vita na KANISA KATOLIKI chini ya CCM .

Bar zimefunguliwa kila mtaa. Unga unaingizwa kama vile sembe. Umalaya usiseme. hizo ni juhudi za kanisa baada ya ule Uvamizi wa Tanganyika wa 1964 unaoitwa Muungano.

WALIIVAMIA ZANZIBAR NA KUMKAMATA WAZIRI MKUU WAKE MUHAMMED SHAMTE PAMOJA NA MAWAZIRI WAKE NA KUWAFUNGA JELA ZA TANGANYIKA BILA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI:

HAYO YAMEFANYIKA KABLA HATA HUO UITWAO MUUNGANO HAUJAFIKIRIWA
 
Teh
 
Ni kweli hakuna shaka kuwa Zanzibar ya zamani ilikuwa na Ust'arab ila sio hii ya sasa ambayo ina mpaka wanawake wa kiislam wanaojiuza na uchafu mwingine mwingi.

Zamani Zanzibar mtu watu wawili Mwanaume kwa Mwanamke hawapatiwi chumba cha kulala cha wageni bila kuonesha cheti cha ndoa. Leo hii mpaka mashoga wanapanga chumba na kufanya laana zao.
 
Back
Top Bottom