Kiswahili sio Kiarabu, ila kwa kuwa Waarabu wa Oman walitawala pwani ya afrika mashariki kabila la Waswahili liliiga baadhi ya tamaduni za kiarabu na misamiati/istilahi za lugha ya kiarabu. Ni kama ambavyo kiingereza kimefanya kwa lugha ya Kilatini no Kifaransa. Na hii ni tabia ya lugha zote. Waoman wameondoka Zanzibar 1964. Hivyo sio ajabu kwao kuongea Kiswahili. Zaidi ya yote wao ndio watu wa kwanza kuiweka lugha ya Kiswahili katika maandishi kwa kutumia herufi za lugha ya Kiarabu. Ukitembelea Zanzibar unaweza kulifahamu hili.
KiswahiliKiswahini ni kiarabu