Oman wanazungumza Kiswahili pia?

Oman wanazungumza Kiswahili pia?

Ni kweli hakuna shaka kuwa Zanzibar ya zamani ilikuwa na Ust'arab ila sio hii ya sasa ambayo ina mpaka wanawake wa kiislam wanaojiuza na uchafu mwingine mwingi.

Zamani Zanzibar mtu watu wawili Mwanaume kwa Mwanamke hawapatiwi chumba cha kulala cha wageni bila kuonesha cheti cha ndoa. Leo hii mpaka mashoga wanapanga chumba na kufanya laana zao.


Hizo ni juhudi za kanisa kuviangamiza visiwa katika nyanja zote ,baada ya ule Uvamizi wa Tanganyika wa 1964 unaoitwa Muungano.

WALIIVAMIA ZANZIBAR NA KUMKAMATA WAZIRI MKUU WAKE MUHAMMED SHAMTE PAMOJA NA MAWAZIRI WAKE NA KUWAFUNGA JELA ZA TANGANYIKA BILA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI:

HAYO YAMEFANYIKA KABLA HATA HUO UITWAO MUUNGANO HAUJAFIKIRIWA
 
Kiswahili kinaongelewa maeneo nchi hizi, Iraq ( Basra, huko huitwa wabasrawi au wazanjibar), yemeni Sanaa kuna kiswahili pia, Somaliland, Kisimayo Somalia, Rwanda, Kigali gisenyi, kitarama, kibungo na maeneo mengine, Burundi Buyenzi, Kirundo, Muyinga, chibitoke na maeneo mengine, Omani karibia yote , Uganda, Arua, Jinja, Mbarara Kampala, Mbale na maeneo mengine, Kenya yote, Malawi ndola, na mpakani, Dubai Airport haza wakenya na waganda, Dr Congo , Sud Kivu and Kivu Nord yote , kinshasha sokoni matonge na misikitini maana kuna wahamiaji wa East Congo. South Sudan Juba, Wau , Raja , aslimia ya 90 ya maeneo haya niliyataja hapa nimefika na nimeongea kishwahili hapo wana lahaja zao tofauti ya yetu ya kiunguja.
 
Zamani miaka ya 80 nilitembelea nchi moja ya Ulaya. Nikiwa hotelini ,Reception nikakutana na Sister mzee wa Kanisa katoliki mzungu . Nilipompa passport yangu alishituka sana , na kuniuliza kumbe wewe umetokea Zanzibar.???

Nikamjibu ndio. Hapo akaanza kuniuliza vipi hali ya Zanzibar hii leo ???

Akaniambia yeye alikuwa akiishi Zanzibar mpaka 1957 ndipo alipoondoka.

Akaniambia siku hizo Zanzibar kulikuwa hakuna jela, kwani kulikuwa hakuna crime. ilikuwa almost CRIME FREE COUNTRY

Ndugu yangu utajiri mkubwa wa Zanzibar ni ikhlak yaani tabia za kiislamu na hizo ndizo zinazopigwa vita na KANISA KATOLIKI chini ya CCM .

Bar zimefunguliwa kila mtaa. Unga unaingizwa kama vile sembe. Umalaya usiseme. hizo ni juhudi za kanisa baada ya ule Uvamizi wa Tanganyika wa 1964 unaoitwa Muungano.

WALIIVAMIA ZANZIBAR NA KUMKAMATA WAZIRI MKUU WAKE MUHAMMED SHAMTE PAMOJA NA MAWAZIRI WAKE NA KUWAFUNGA JELA ZA TANGANYIKA BILA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI:

HAYO YAMEFANYIKA KABLA HATA HUO UITWAO MUUNGANO HAUJAFIKIRIWA

Acha kupotosha umma na udini wako. Unataka kutugawa tu hapa. Toa ushahidi kuhusu kanisa kuleta maovu huko Zanzibar. Hayo unayosema hata nchi za kiislamu kama uarabuni yapo wewe unasingizia kanisa.
 
HAMIA CHATO ; UWANJA WA NDEGE UNAJENGWA pamoja na viwanda vya kusindika ugolo .

Usisahau pesa za mchango wa mwenge wa kanisa katoliki
Unaumwa udini wewe. Nenda Syria kajiunge Isis
 
Unaumwa udini wewe. Nenda Syria kajiunge Isis

Anza kurudi kwenu mumejazana hapa sokoni mwanakwerekwe mnalala kama ngumbi nje ya soko kama hamna makwenu. Majeshi ya CCM kila mtaa , makanisa kama uyoga yasiyo na watu. Kakimbize mwenge chato
 
Anza kurudi kwenu mumejazana hapa sokoni mwanakwerekwe mnalala kama ngumbi nje ya soko kama hamna makwenu. Majeshi ya CCM kila mtaa , makanisa kama uyoga yasiyo na watu. Kakimbize mwenge chato
Mbona wabara wameanza kukaa hapo kabla hata ya waarabu
 
Back
Top Bottom