Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Hujui walichokijia na bado unasema huoni walicholeta?hivi wameijia nini,maana hata sioni cha maana kilichowaleta?
Hujui walichokijia na bado unasema huoni walicholeta?hivi wameijia nini,maana hata sioni cha maana kilichowaleta?
Ndugu unapoteza nguvu zako bure kumuelimisha huyo mwanafunzi wa sekondari, sijui wanawezaje ku "log in" huku jamiifurumsSio 98%, na ujue Kiswahili kinatofauti na eneo na eneo, ukikisikia kiswahili cha DRC hakina kabisa maneno ya Kiarabu na kama yapo ni kachachesana, kiswahili chao kimejaa Kibantu na maneno ya kifaransa
Zaidi ni Tanzania bara,ndio ina idadi kubwa sana ya watu wenye asili ya Oman.Kuanzia Bagamoyo,Tanga,Dar,Mtwara,Tabora,Shinyanga,Mwanza,Sumbawanga nk.
Ili kumaliza utata kwetu tunaofuatilia uzi huu, hebu tuwekee paragraph moja ya kiingereza cha UK na nyingine ya kinaijeria na zote zikiwa na ujumbe mmoja.
Chukua na hii Mfalme wa Oman, Shekh Kabus ni mzenji.Nimeona baadhi ya watu waliokuja na Meli ya mfalme wa Oman wakizungumza Kiswahili vizuri. Nilitaka kujua kama kwenye taifa hilo uzungumza Kiswahili
Ni sawa kabisa mkuu maanake ukiteremka pale airport Muscat,unakutana maafisa forodha,uhamiaji polisi wengi wao wanaongea kiswahili utadhani huko Kariakoo.Ni kweli unajua kuna dhana kwamba wa Oman wengi ni kutoka Zanzibar lkn kiuhalisia Zanzibar ni sababu ya mambo ya utawala wa sultan kipindi hicho nachoweza sema wa bara na hasa mikoa ya Tabora , Tanga na shinyanga ndo ina idadi kubwa sana yenye waaarab na machotara wa kiarabu
Na hata Oman yenyewe pia wako waarabu waliokuja Africa kwa maana ya Zanzibar, Mombasa na walio enda Bahrain (hawa walienda fanya kazi kutokana na maisha magumu ya Oman muda huo) pia Iran na India walienda kibiashara na kutawala baadhi ya sehemu
Kwa waliokuja Africa pia walitoka sehem karibu zote za Oman lkn wengi ni kutoka hasa maeneo ya , Centre Oman ' hapa unakutana na makabila kama Aljabri na Alhabisy (hawa wamekaa sana maeneo ya Tanga,Nzega,nata,mwangohe, Tinde , maganzo, choma cha nkola, itobo kwa ufupi Tabora vijijini na shinyanga na wengine Karagwe wa kaenda Rwanda mpaka Burundi
Kwa wapenda soka mtamkumbuka kipa kama sikosei wa Wigan aliitwa Alhabisy ( hili ni jina la kabila bado warabu wanajinasibisha sana kwa makabila yao ) wazazi wake ni kutoka maeneo ya Tabora vijijini wakahamia Oman
Turudi ktk mada hakuna Taifa nje ya Africa wanaongea kiswahili zaidi ya nchi ya Oman ni Taifa pekee ndo Mtanzania au mtu yoyote anaeongea kiswahili hawezi pata shida ya mawasiliano
40%ya wa Oman wanaongea kiswahiliVitukuu vya Seyyid Said,vilitoka vinaongra kiswahili na vimewafunza wanafamilia,ukiachilia mbali raia wa kuomba.
lohumboShinyanga nilikaa ni kweli kuna waarabu wasukuma wenye asili ya Oman. Wanaongea kisukuma na kiswahiili hacha tu wako kibao shinyanga wengi wako maganzo nk
kiswahili ni kimoja tu..hakuna cha Kongo wala Bujumbura,Kongo wao wanaita kingwana,wataokota-bhatalokota,risasi-masasi,kiswahili cha wapi hichoNdugu unapoteza nguvu zako bure kumuelimisha huyo mwanafunzi wa sekondari, sijui wanawezaje ku "log in" huku jamiifurums
Kama unajua kuanzia advance hukusoma,HGL,HGk napia chuo hukusoma masuala ya lugha basi usitoe maelezo ambayo siyakwe,tuliosoma lugha as professional tunaona unapotoshaKiingereza ni kimoja pia,hao wengine wameamua kuumiza matamshi ya baadhi ya maneno,ndiyo maana unaambiwa kuna FORMAL ambayo ni ya UINGEREZA hakuna kiingerza cha Naijeria wala kongo,isipokuea INTONATION tu na hiyo inatokana na lugha zao eanazotumia.
Usijifabganye kama kuna kiingereza cha KIHAYA wala KiSUKUMA,ni lafudhi na matamshi tu yaliyoathiriwa na lugha fulani ama za makabila au Mataifa,unawezaje kusema KIINGEREZA cha NAIJERIA wakati umeshasema"KIINGEREZA?"
HII MAANA YAKE NI LUGHA YA UK.
Usiwe mvivu wa kufikiri.
Mkuu vipi wale wanazuoni wanaofundisha kwamba kuna American English na British English kwa maelezo yako ina maana hakuna kitu kama hicho? Niongezee uelewa hapoKiingereza ni kimoja pia,hao wengine wameamua kuumiza matamshi ya baadhi ya maneno,ndiyo maana unaambiwa kuna FORMAL ambayo ni ya UINGEREZA hakuna kiingerza cha Naijeria wala kongo,isipokuea INTONATION tu na hiyo inatokana na lugha zao eanazotumia.
Usijifabganye kama kuna kiingereza cha KIHAYA wala KiSUKUMA,ni lafudhi na matamshi tu yaliyoathiriwa na lugha fulani ama za makabila au Mataifa,unawezaje kusema KIINGEREZA cha NAIJERIA wakati umeshasema"KIINGEREZA?"
HII MAANA YAKE NI LUGHA YA UK.
Usiwe mvivu wa kufikiri.
Waoman wengi wametokea hapo VISIWANI...kiswahili sio ISSUE kwaoNimeona baadhi ya watu waliokuja na Meli ya mfalme wa Oman wakizungumza Kiswahili vizuri. Nilitaka kujua kama kwenye taifa hilo uzungumza Kiswahili
Kiswahili kipo pwani ya Afrika mashariki, kilichopo Kongo ni maigizo yake. Pia kiswahili kimekopy baadhi ya maneno ya kijapani, kihindi, kiarabu na kibantu. Hata hivyo Zanzibar ilikuwa sehemu ya ya nchi Oman kabla Tanganyika haijavinyakuwa visiwa vyake. Hivyo ndani ya Oman kiswahili fasaha kinazungumzwa hukoSio 98%, na ujue Kiswahili kinatofauti na eneo na eneo, ukikisikia kiswahili cha DRC hakina kabisa maneno ya Kiarabu na kama yapo ni kachachesana, kiswahili chao kimejaa Kibantu na maneno ya kifaransa
Umeni-quote mimi ilhali ujumbe umemkusudia ELI-91 sio?Kaka ELI-91 , unajua ni ngumu sana kuelewa ninachokiandika na ninachojaribu kukieleza
Mfano, kwa sisi East Africa tunasema MIMI ambayo ina accent ya Kiarabu lakini Kiswahili cha Congo wanasema MIYE ikiwa ni accent ya Kifaransa
Pesa tunasema Fedha-kiarabu wao Congo wanasema Faranga
Ukiongea siku za juma kama tunavyoongea sisi huku hakuna Mkongo atakayekuelewa, utawachanganya kabisa wao wanatumia namba au maneno ya kifaransa
Jumatatu-Siku ya Kwanza (Lundi)
Jumanne-Siku ya Pili (Mardi)
Jumatano- Siku ya Tatu (Mercredi)
Alhamis-siku ya nne (Jeudi)
ijumaa-siku ya Tano (Verdred)
Jumamosi- siku ya Posho (Samedi)
Jumapili-Siku ya Mungu (Demanche)
Ama kweli we mavipunda unajua zanz lazma iwe dubai ikitoka kwenye muungano ndo mana wakulu wanakomaa usivunjwe bara tukaaibikawazanzibar ni wale wale wa Oman kwani jeuri ya kuvunja MUUNGANO unadhani wanaitoa wapi.. na wakijitoa leo kwenye Muungano wanatuacha kiuchumi haki ya Mungu