OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

OIC, MBWA MWITU ALIYEVAA NGOZI YA KONDOO.

Jumuiya ya nchi za kiislam OIC[ organization of islamic conference] iliasisiwa mwaka wa 1969,

jumuiya hii ilianzishwa nchini MOROCCO tarehe 21Agust 1969 AD, au 12 Rajab 1389 H,

*. Jumuiya hii ilianzishwa kutokana na mashabulizi ya ISRAEL yaliyofanywa dhidi ya nchi za kiarabu, na kutekwa kwa mji wa YERUSALEM,[ AL-QUDA], katika vikao viwili kile cha MOROCCO tarehe 25 september 1969, na kile cha mjini JEDDAH cha mwezi machi 1970 kiliweka maazio ya kuuteuwa kwa muda mji JEDDAH kuwa makao makuu ya muda ya OIC ambapo kikao hicho kiliazimia kuwa MAKAO MAKUU YA KUDUMU YA OIC YATAKUWA NI YERUSALEMU.

Moja ya kipaumbele kikuu na lengo kuu la kuasisiwa kwa OIC ni kuikomboa YERUSALEMU kutoka mikononi mwa ISRAELI pamoja na msikiti MTAKATIFU WA AL-AQSA ulio sehemu muhimu kwa imani ya kiislam kwani AL-AQSA ndiyo QIBLA cha kwanza cha waislam kabla hakijageukia AL-KAABA. hivyo yaliwekwa maazimio matatu muhimu,

1. kujijengea uwezo kwa kufanya yafuatayo. [a] kujenga mshikamano miongoni mwa waislam,
kujenga mashirikiano ya jamii nzima ya kiislam,
[c] kuupigania uislam kwa kulindamaeneo MATAKATIFU pamoja kulinda vitabu VITAKATIFU,

2. kuunganisha nguvu ili [a] kupigania sehemu TAKATIFU.
kuunga mkono harakati za WAPALESTINA KUJIKOMBOA,
3.Kufanya kazi kwa pamoja
[a] kuondoa ubaguzi miongoni mwa waislam na
kueneza dini na utamaduni wa kiarabu. nk.

ili kufanikisha azma na malengo ya jumuiya vilianzishwa vyombo mbalimbali vya kusimamia shughuli zote kulingana na vipaumbele husika, ili kuyafikia malengo hayo KIKAO KILIGUSIA maeneo haya. ELIMU, SIASA, UCHUMI na DINI , mambo haya yaliwekwa chini ya KATIBU MKUU ili kuhakikisha kuwa malengo yanafanikiwa
1-KUHAKIKISHA KUWA ZINAANZISHWA SHULE ZA KIDINI[MADRASSA ] zitakazo toa ELIMU ya DINI-SIASA kazi kubwa ya shule hizi ni kujenga uadui kati ya UTAWALA WA KIZAYUNI[ISRAEL ] uliolikalia kwa nguvu eneo takatifu la yerusalem ulipo mskiti wa AL-AQSA , mbinu hii imesaidia sana kwani baada vijana wengi kufunzwa katika MADRASA hizi za DINI SIASA[ UDINI] tumewashuhudia wakitamka hadharani kuwa UTAWALA WA KIZAYUNI UNAPASWA KUFUTWA KWENYE RAMANI YA DUNIA NA PALESTINA LIWE TAIFA HURU,

chini ya mwamvuli huu mara kadhaa tumewasikia wahubiri wadini ya kiislam kama vile ABOOD MOHAMEDY ROGO, ANWAR AL AWALAKI, ABU QATADA, na wengineo wakiwahamasisha vijana wa kiislam kwenda PALESTINA kuwapigania ndugu zao.
Kivuli hiki cha DINI SIASA kimeendelea kukua hasa pale mataifa ya MAGHARIBI kuonekana wakiingua mkono ISRAEL, mafundisho haya ya dini siasa sasa yanazigusa hata nchi hizi zinazoonekana kuwa ni washirika wa utawala wa KIZAYUNI,
katika mafundisho haya ya DINI SIASA yaliyoasisiwa na OIC yamefanikiwa kuzalisha makundi ya KIGAIDI na MISIMAMO MIKALI YA DINI-SIASA[UDINI] ndiyo maana nchi ambazo zilikuwa za mwanzo kujiunga na jumuiya hii kwa sasa zinakabiliwa na mfumuko wa siasa kali za udini,
UDINI ulionwa kuwa ndiyo njia pekee ya kuyayafikia malengo, yaani kuwafundisha vijana wa kiislam kuwa ADUI YAO NI YULE ANAYEWANYIMA HAKI YA KUWA NA YERUSALEM.
hapa ndipo yalipoanza madai ya kile kinachoitwa MFUMO KRISTO, yaani washirika wa utawala wa MAZAYUNI
unaowanyima haki waislam, kwa kutumia mbinu za hali ya juu za kutengeneza mazingira wamefanikiwa kuziteka nyoyo za wengi.

Madhumuni ni mamoja tuu, KUKUSANYA NGUVU NA KUIKOMBOA YERUSALEM ILI IWE NI MAKAO MAKUU YA OIC.
hata hapa kwetu mafundisho haya tayari yamekwisha kupenyezwa.


Ni tangu lini ukamuona Mwarabu mwenye upendo na ngozi nyeusi. Waulizeni tu hata ma-house girl wanaokwenda huko kinachowapata
 
Serikali imewahi kutamka kuwa imefanya utafiti wa kina na kubaini kuwa hakuna madhara kwa tanzania kujiunga na oic kwa hiyo tuache uchadema na kejeli za kijinga humu ndani

Dah ccm wanaipenda sana CHADEMA we siku haipiti hamjafikiri na kutamka neno CHADEMA nadhani dalili za natural death ndo hizi tunamshukuru Mungu kwa kuwahadhibu Magamba
 
2. Any State, member of the United Nations, having Muslim majority and abiding by the Charter, which submits an application for membership may join the Organisation if approved by consensus only by the Council of Foreign Ministers on the basis of the agreed criteria adopted by the Council of Foreign Ministers.
 
Serikali imewahi kutamka kuwa imefanya utafiti wa kina na kubaini kuwa hakuna madhara kwa tanzania kujiunga na oic kwa hiyo tuache uchadema na kejeli za kijinga humu ndani

2. Any State, member of the United Nations, having Muslim majority and abiding by the Charter, which submits an application for membership may join the Organisation if approved by consensus only by the Council of Foreign Ministers on the basis of the agreed criteria adopted by the Council of Foreign Ministers.

Jiulizeni kwanza idadi ya waislamu ni wengi kuliko jumla ya imani zingine?
 
Sijakuelewa kabisa mkuu,OIC ni mbwa mwitu mwenye ngozi na umbo kamili la mbwa MWITU, kwa kadri ya katiba ya OIC hakuna mahala palipofichwa madhumuni ya kuundwa kwake kwamba ni kuisilimisha Dunia, Ukondoo wa OIC unatolewa na wale ambao wangependa OIC ipewe uwanja ndani ya TZ ili kutimiza malengo yake kwa kuilazimisha TZ ijiunge nayo kwa kupitia shinikizo kwa waislam hasa hasa wakitolea mfano wa Msumbiji na Uganda kwamba ni wanachama lakini swala la usilimishaji halijaanza then OIC aonekane ni kondoo wakati ni Mbwa mwitu kwa kila hali.
Hakuna pahala am,bapo OIC amejificha uumbwa mwitu wake,sijaelewa unaposema ni mbwa mwitu katika ngozi ya kondoo...
 
Hii article imeandikwa na mkuda mmoja mwenye malengo yake binafsi! Hainiingii akilini Intelligensia ya KGB ya bwana Puttin isilijue hili mpaka ikubali nchi yake ya Russia kuwa miongoni mwa wanachama. Hivi nchi ngapi Africa zimejiunga na OIC hapa Afrika tena nchi ambazo waislamu ni asilimia ndogo sana kama Uganda na Mozambique na je wameathirika na uanachama wao wa OIC? Hebu acheni propaganda zisizo na kichwa wala miguu kwa mambo msiyoyajua:

Wewe mleta hoja kama kweli una uhakika na unachokisema hebu tuletee reliable source hata kama inatokea Vatican nitaikubali! Huna lolote na roho yako ya fitna.

Organisation of Islamic Cooperation - Wikipedia, the free encyclopedia

Member states of the Organisation of Islamic Cooperation - Wikipedia, the free encyclopedia

http://www.oic-oci.org/home.asp


Fuatilia hizo link ujue ukweli kuhusu OIC!
Kama ni source ngoja nimsaidie...
OIC (Organization of Islamic Conference) was founded in August 1969 when the Jews set fire to a part of Al-Aqsa mosque in Jerusalem. Muslims all over the world were irritated and thought that effective steps should be taken to protect the Islamic countries from the aggressive forces and they realized that the unity of Muslims was necessary. It was decided to hold a conference among the leaders of all the Muslim countries to discuss the threat faced by the Muslim world.

The first Summit conference of OIC (Organization of Islamic Conference) was held at Morocco in September 1969. The Middle East situation was discussed in detail. Besides the discussion on Palestine problem and condemnation of the Jewish aggression, a community was formed to eliminate poverty, illiteracy and disease from the Islamic countries. It was decided to set up an Islamic development Bank for the help of needy countries. Hence the OIC (Organization of Islamic Conference) proved to be a good and effective step in helping the Muslim community all over the world.
What Do You Know About OIC (Organization Of Islamic Conference)? - Blurtit

Nadhani ilikuja kubadilishwa hapo kwenye conference kwenda "cooperation"
 
2. Any State, member of the United Nations, having Muslim majority and abiding by the Charter, which submits an application for membership may join the Organisation if approved by consensus only by the Council of Foreign Ministers on the basis of the agreed criteria adopted by the Council of Foreign Ministers.

Jiulizeni kwanza idadi ya waislamu ni wengi kuliko jumla ya imani zingine?
Ndo maana kina Ponda walitaka kipengele cha dini(pengine kwa imani kwamba wako wengi zaidi),wanatumiwa hawa watu na maadui wa Tanzania.
 
Pato la nchi zote 57 wanachama wa OIC lipo chini ya pato la nchi moja inayoitwa Spain. Halafu wale wazee wa nanii wameng'ang'ana eti lazima Tanzania tujiunge na OIC. Kwa kweli, elimu ni muhimu sana maishani.
 
Ndo maana kina Ponda walitaka kipengele cha dini(pengine kwa imani kwamba wako wengi zaidi),wanatumiwa hawa watu na maadui wa Tanzania.

mkuu walitaka walijiridhishe maana inahitajika zaidi 60% ya wakazi wote ili wakidhi kigezo, siku zote wanangangana kuwa waislamu wapo wengi kuliko wakristo huku wakishindwa kujua kuwa kuna imani zingine kama wapagani n.k nao wanahesabika. hesabu zao zimekuwa dhaifu kuwa waislamu/jumla + wakristo/jumla =1 . mlinganyo sahili ni waislamu/jumla + wakristo/jumla + imani zingine/ jumla =1. ili wapate urahisi wa kukokotoa huo mlinganyo sahili wanangania option ya pili ya zanzibar kujitenga iwe inchi huru ili wakristo/jumla iwe negligible na hivyo kukidhi kegezo cha zaidi ya 60%.

lakini waislamu wengi hawafahamu kuwa hata hao waarabu wanaowangangani kuwa watawasaidi wanategema nchi za magharibi kuendesha maisha yao. leo hii wakiweka vikwazo kama vile vya irani arab world imekwenda na maji, ndiyo maana watu wa magharibi wanaangalia alternative renewable energies.
 
iliazwishwa kwa madhumuni gani?
Je tanzania ina balozi wake Vatican?
Ameteuliwa na rais au kanisa?
Tunapata manufaa gani kwa ubalozi wetu uliopo vatican?

vipi kuhusu ubalozi wa nchi za kipepo kama Oman, Iraq, somalia, syria, afghanstan, nazo balozi wake huwa anateuliwa na Serkali au Shehk ponda?
 
Mkuu punguza jazba, sidhani kama kuna historia yoyote inayoonesha kuwa nchi zotezilizo wanachama wa OIC zina vurugu/zinaua/zinatekeleza ubaguzi baina ya wananchi wake. Twendeni tu hatua kwa hatua, tujenge hoja, tuone faida na hasara zinazoweza kutokana na kujiunga na OIC. Binafsi naona kama tunaweza kuwahukumu vibaya wenzetu wa imani ya kiislamu katika ombi lao la kjiunga na OIC. Je tunazosababu za msngi za kukataa kujiunga na OIC? tuanayo mifano hai ya kukataa kujiunga na OIC. Napata shida kidogo pale ambapo wakristu tunaposema kujiunga na OIC ni kkuifanya Tz kuwa nchi ya kidini na tunasahau kuwa hicho kitendo tu cha kusema hivyo bila ya kutoa sababu za kuukataa mpango huo tayari ni udini.

jina tu la jumuiya tayari lina udini. organisation of islamic conference
 
vipi kuhusu ubalozi wa nchi za kipepo kama Oman, Iraq, somalia, syria, afghanstan, nazo balozi wake huwa anateuliwa na Serkali au Shehk ponda?

badala ya kujibu hoja mnaleta porojo. Hizi ni dalili za kuishiwa, hamna kinachowafanya mpinge ila ni udini unawasumbua.
 
Mi naona tungejifunza kutoka kwa wenzetu ambao wamejiunga ili tuone wamefaidika vipi kwa mfano sudan iraq syria afghanstan tusije kuvamia tu na isitusaidie lolote zaidi ya "WAR WITH IN" mtazamo tu
 
Kuna nchi nyingi hapa duniani zimejiunga na oic na wala hakuna matatizo,kwanini watanzania mna chuki? Acheni oic iwanufaishe watanzania hasa wananchi maskini




siyo lazima kutembea juu ya maji kama Yesu/Issa
 
Serikali imewahi kutamka kuwa imefanya utafiti wa kina na kubaini kuwa hakuna madhara kwa tanzania kujiunga na oic kwa hiyo tuache uchadema na kejeli za kijinga humu ndani
mbona haijaruhusu kujiunga mpaka leo....hii labda itakuwa serikali ya jamhuri ya pemba
 
09.-SZ-151012-OIC-Protests-e1350302478850.jpg
 
Back
Top Bottom