Sasa CDM tunapoelekea ni kubaya...tunashindwa kuvumiliana, kuheshimiana na kusameheana!
Mtaanza kukubaliana na ukweli mmoja baada ya mwingine.
CHADEMA iko katika siku zake za mwisho.
Sasa CDM tunapoelekea ni kubaya...tunashindwa kuvumiliana, kuheshimiana na kusameheana!
Mwingamba atakuwa anahusika, anaroho mbaya sana huyo jamaa. MM2 na MM3
CCM haoo, kama ni kweli! Kama unabisha utaona iwapo policcm watachunguza chochote! Subiri tu.
Nguvu ya zitto ni kiboko wakuu lazima mbowe amwite zitto amwachie uenyekiti wake ndiye mtu sahihi kwa sasa mengine yote kupoteza mda.
hii ina uhusiano gani na topic at hand please?
Mkuu, ilishatabiriwa kuwa CHADEMA kitakufa 2013. yametimia mkuu. kufa kwa chama si kama binadamu. ni matukio tu yatakiandama
hii ina uhusiano gani na topic at hand please?
Una maana nguvu za kuchoma moto majengo? akamatwe huyo ahojiwe!!
Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...
Mkuu, ilishatabiriwa kuwa CHADEMA kitakufa 2013. yametimia mkuu. kufa kwa chama si kama binadamu. ni matukio tu yatakiandama
Nguvu ya umma hiyo.