Chabruma
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 5,660
- 1,782
umejiunga na CDM lini mkuu?
hilo swali linahusu nini kwenye mjadala huu?
umejiunga na CDM lini mkuu?
Wacha iungue tu, kwani mali ya umma hiyo?Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...
Nguvu ya zitto ni kiboko wakuu lazima mbowe amwite zitto amwachie uenyekiti wake ndiye mtu sahihi kwa sasa mengine yote kupoteza mda.
Mtamchafua sana lakini Zitto hachafuki hovyo. Ataendelea kuwa dhahabu ndani ya tanuru la motoZitto siasa zimemshinda ameingia kwenye ugaidi sasa kama swahiba wake mwigulu
Hakuna sababu ya kuzima kwani wamechoma wenyewe. Kwanza huyu aliyeleta uzi huu ni Kibaraka wa Lemasasa kamanda badala ya kusaidia kuzima moto wewe unahangaika kupiga picha za kuweka jf? zima moto kwanza
Wawapi wewe, kibororoni?kibosho au machame?ENDELEA KUOTA MCHANA ZITTO LAZIMA AONDOKE CHADEMA NA MAMLUKI WOTE KAMA NYIE MKAUNDE chama kipya WANAFKI WAKUBWA NYIE.
Sure mkuu. Ila watambue kuwa topic huwa haibadiliki. Na Mungu hamfichi mnafiki:noidea:Naona mmeamua kuichoma wenyewe ili mbadilishe topic.
Laana ya ubaguzi inaitafuna CHADEMA.