Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Tafuteni njia za kutatua matatizo yenu ambayo yako wazi mno kwa muda mrefu hayakuwa yanahitaji ELIMU YA CHUO KIKUU ili kujua ni nini kingetokea CDM badala ya kila jambo CCM hao!!
 
Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...
View attachment 124594
View attachment 124595
View attachment 124596
View attachment 124597
Hapa ndipo walipo ingilia.....

==============
aliyeku mwanachama wa chadema (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...
Hiyo ni dalili ya kushindwa kwa vibaraka wa magamba! Watashindana lakini hawatashinda!
Zitajengwa ofisi nyingi zaidi ya hiyo! Ploeni CDM Arusha.
 
Chadema wamechoma ofisi zao wenyewe kutafuta huruma.
Kwel ww nimeamini huna akil hata kidogo,, ebu kachome ile nyumba yako na mafimila yko ukatafute huruma kwa baba yko, mjinga mjinga tu, na hyvo ccm inajidanganya ndo maana wakarusha bomu alfu wamejilipua wenyewe bure kbc hii mijuti,, miccm yote ni ya kuizika baharini, tena ina chimbwa shimo refu katikati ya baharini chukua kamba na kuwazika wakiwa hai hakuna dawa ingine tumeshawachoka
 
Mkuu, ilishatabiriwa kuwa CHADEMA kitakufa 2013. yametimia mkuu. kufa kwa chama si kama binadamu. ni matukio tu yatakiandama

Chabruma na mwenzio mtasubiri sana...hata mwalimu alishatabiri kifo cha CCM, among the great mistakes ccm mtakazozijutia ni kua na gaidi Mwigulu, mtalikumbuka shuka kukiwa kumekucha...
 
ivi walio nyuma ya cdm unafikili ni wachache ?nyie pigeni kelele umu mgekuwa mnaenda vijijini kuhamasisha tungetishika ila umu ni walewale wakina tunte,ritz,macopolo,mwigulu na wengine ambao hata 100 hamfiki mtaweza kweli kuwafikia watu wakwetu bukoba v.kashaba?
 
Maadui wa CHADEMA kwa sasa wamepata Mwanya wa kufanya maasi makubwa na kusingizia kuwa ni makundi yanayohasimiana ndani ya chadema wenyewe. Huu mpango unaonekana umesukwa kwa siku nyingi sana, lakini hatari yake inaweza ikawa kama mtego wa panya, namba MUNGU apishie mbali kwani wasiwasi wangu ni machafuko kusambaa nchi nzima bila kujali itikadi ya chama.
 
Wassira ubashiri Wako umetimia kabla 2013 haijaisha.
Sasa nimeamini Tyson unaweza kuwa Rais mzuri 2015.
Burian chadema.
 
kila heri katika uokoaji , kama ccm wameamua kutumia mbinu hii ya kishamba , basi wamefirisika sana !
 
Nitoe rai tu kwa wote wanaofanya hizi hujuma,kila kitu kina faida na hasara zake,mnapoamua kuidhalilisha taasisi tunayoimini na sisi waumini tukakaa kimya na nyie kutuona sisi wapumbavu wa mwisho,tunakoelekea uzalendo utatushinda na dhamira ya kuheshimiana tutaiweka pembeni ili twende kama mnavyotaka nyinyi.

Najua kabisa katika matukio yote yanayotokea kuna mkono wa serikali inayooungozwa na maccm,na kwa style ccm inachochoe machafuko kupitia mtandao za zitto kabwe na kama ndivyo mtakavyo tuko tayri kulinda mali za chama na viongozi wetu kwa hali na mali hata kama damu zetu zitamwagika ipo siku wajukuu wetu wataenjoy matunda yake,enough is enough.

Tunasubri tamko la viongozi wetu,kama kwao ni sawa kufanyiwa hizi hujama wao ndiyo watakao sema otherwise kama mbwai naiwe mbwai

Achana na Rai hata ingekuwa Tanzania Daima,
Huo upuuzi unaoutandaza hapo ungeanza kuondosha ujinga na ubabe katika Club yako/yenu ndipo utoe na sehemu heshimika,

Inamaana vituko vya Club yenu muda huu umevisahau?

Tumeshasikia matamko, ushahidi, na na na ...... nyingi sana lakini mwisho wa yote hakuna cha ushahidi wala nini,

Sasa chunguza kasoro zako ndipo uhamie na kwa mwenzio,

Hivi na wewe siku hizi umekuwa na mawazo mafinfu kiasi hicho kama kaptura ya mjerumani?!
 
Mnadhimu mkuu analizungumziaje swala hili! Mwanzo wa mwisho wa chama.
 
Maadui wa CHADEMA kwa sasa wamepata Mwanya wa kufanya maasi makubwa na kusingizia kuwa ni makundi yanayohasimiana ndani ya chadema wenyewe. Huu mpango unaonekana umesukwa kwa siku nyingi sana, lakini hatari yake inaweza ikawa kama mtego wa panya, namba MUNGU apishie mbali kwani wasiwasi wangu ni machafuko kusambaa nchi nzima bila kujali itikadi ya chama.

Kinachonishangaza ni kwa jinsi gani huyo Zitto alikuwa msaliti na sasa baada ya kugundulika sasa wako watu ambao wako tayari kuingiza nchi katika machafuko wakidhani wanamsaidia Zitto badala ya kumwelekeza aende anakohitajika. Jamani mnaoshabikia siasa pasipo kutumia akili, vita haina macho. Haya we!
 
Sasa muda wa kusema inatosha ni sasa,
-Walitupiga mabomu tukanyamaza,
-Wakatumwagia maji ya kuwasha tukanyamaza,
-Wakatupiga risasi za moto tukanyamaza.
-Wakatubambikizia kesi na kutufunga tukanyamaza.

Yote hayo walitutendea lakini hatujawai kulipa kisasi ata siku moja.
Ila kwa hili nilazima Arusha tuseme "INATOSHA" Kwa anayeona kitu chochote chenye rangi ya KIJANI na NJANO mbele ya macho yake nikuchoma tu, watu tumechoka sasa.

Mimi nipo hapa mitaa ya Bondeni na dumu la 20lt petrol nasubiria kigiza kiingie nikalipunguzie uzito pale juu kwenye kile kijengo cha gorofa tatu pale jirani na makumbusho.
 
Jaribio ovu la kuunguza ofisi limeshindwa,ofisi imeungua sehemu ndogo,inaonekana mpango ulikuwa kuunguza ofisi kwa lengo la kuunguza DATA,kwenye computer.
Mpango huu unaonekana kufanywa na Wasaliti

Ebu acheni uongo, kama ofisi hii imechomwa,basi waliyoichoma ni Chadema-Lema wenyewe ili wabadilishe upepo wa mjadala,hakuna mwingine yeyote anayenufaika na uchomaji huo zaidi ya Chadema wenyewe.Ni mjinga tu ndiye atakayeamini vinginevyo.
 
mkuu ukovizuri ukweli mtupu kanjama najanjajanja zahapa napale kupoteza ushaidi wamahesabu
 
hivi hii ndio ile ofisi ambayo mipango ya kumuua wangwe ilifanyika, na baada ya kuitekeleza wakaisingizia serikali??
 
Back
Top Bottom