Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Ni kweli unafamilia,

Ni kweli hatutakuwepo kuihudumia ukiondoka kabisa,

Ni kweli mengi uliyoyasema na uliyoficha,

Unakiri kuona nguvu ya umma, lakini mbona unaisahau mapema?

Hata kama sote twaenda Zimbabwe, lakini je wewe kuwa among watu wa kwanza kwenda Zimbabwe kuna toa suluhisho lolote?


Na Je unakwenda moja kwa moja au utarud?

Direction ya Lory letu inakwenda Zimbabwe (thats obviously) na wewe umeona ni vyema utangulie,lakini je umeshafikiria itakuwaje direction ikibadilika ghafla? Je utageuza na kuanza kushabikia new direction au itakuwaje?
 
Maamuzi yake
Pia ile ni sanaa na unaweza kuta hakumaanisha kuhama nchi fasihi inamaana tofauti sana adhira unavyoipokea na fanani aliyevotunga alimaanisha vingine kabisa
 
Maamuzi yake
Pia ile ni sanaa na unaweza kuta hakumaanisha kuhama nchi fasihi inamaana tofauti sana adhira unavyoipokea na fanani aliyevotunga alimaanisha vingine kabisa
Me mwenyewe sijamaanisha kuhama nchi

Fumbua jicho la fasihi
 
......
......aende monduli watu wanabeba matairi km 100
Huyo Jamaa Wa Ajabu Sana Inabidi Aende Youtube Atafte Millitary Combat Against Gun Ndo Ataona Kama Mwenye Bunduki,panga,jambia Anapokutana Na Asiyekuwa Na Siiaha Halafu Kaiva Nini Kitatokea
 
Zimbabwe kaitumia kama lugha ya picha, kifasihi hapo anamaanisha Tanzania inaelekea kuwa kama Zimbabwe kutawaliwa na rais mmoja kama alivyo Mugabe
 
Huyo Jamaa Wa Ajabu Sana Inabidi Aende Youtube Atafte Millitary Combat Against Gun Ndo Ataona Kama Mwenye Bunduki,panga,jambia Anapokutana Na Asiyekuwa Na Siiaha Halafu Kaiva Nini Kitatokea
Umenikumbusha afande Sele!
 
Mtoa mada fafanua zaidi unamaanisha nn? Mbona hueleweki?
Kazi ya Roma Mkatoliki hiyo.

Kama kaz nyingine ya sanaa, ina maana 3.

Ya kwanza ni maana ya moja kwa moja.

Hii ndo ile naenda Zimbabwe, kama nchi.

Maana ya pili ni maana ya ndani nyepesi

Hii ndo ile Mungu wa Daudi,Paul na John, na lyrics nyingine nyingi ambazo unaweza pata maana yake kwa urahisi :-Wengi wamefanikiwa kugundua maana ya ndani nyepesi iliyo ndani ya huu wimbo

Pamoja na nchi kwenda Zimbabwe as Nchi kuwa ya kidikteta

Kisha kuna maana ya ndani ngumu/iliyojificha,/deep : hii ni generalization ya context nzima ya wimbo

Hapa ndo unakutana na kwenda Zimbabwe as kufunga mdomo, kuwa kimnya sababu una familia na inakutegemea na unaogopa kutekwa tena.

Usiende Zimbabwe Roma

Kwa hisani ya bongo rap genius .com
 
Too late

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Kunamdau kaanzisha Uzi kuhusiana na kuonekana kwa jina la diamond mwanzoni mwa video pale japo mods naona kama wameifuta hivi au ni shida ya haka ka itel kangu but what I see directa hakufanya kimakosa kuonyesha lile jina maana kabla hawajarelease video editing lazima walifanya. je? Hakuna uhusiano na wimbo alioimba diamond wa kusema bora akae kimya ila Roma anaonyesha kwamba yeye diamond aendelee tu kukaa kimya kazi hyo ya kusema ataifanya mwenyewe Roma nawaza hivo wengine mnaongeleaje kutokea kwa jina hlo je ni bahati mbaya au planed
 
MI NIMEMWELEWA KUWA TUNAELEKEA ZIMBABWE YANI ANACHOSEMA MKULU NDO HIKOHKO


HIVI WAZIRI WA ELIMU WA KUTUAIBISHA SOUTH AFRICA ANAITWA NANI VILE? ALISEMA TANZANIA NI MUUNGANO WA VISIWA VYA ZIMBABWE..
 
Back
Top Bottom