Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

nimemuelewa saana, ila kwanini apitie magumu yote yale halafu anayasema kwa lugha ya uficho?
huu ndio uoga ninaousema, angechana tu yaani ukisikia unaelewa direct
Kama umemuelewa ni zamu yako sasa...Ingia studio rekodi wimbo wako kwa ulivyomuelewa Roma, yaani "chana direct" mambo yote yaliyomkuta Roma kipindi kile ametekwa ili watu wakisikia waelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This artist ni idiot kabisa. Badala ya kutunga nyimbo za kumuingizia hela yeye anatunga nyimbo za kutukana? Hivi anajua ni watanzania wangapi wamekufa kwa sababu ya rushwa na yeye anashabikia rushwa? Yaani namaanisha anapopingana na serikali anamaanisha nini? I think inabidi tufikie pointi ya wale wote wanaopinga hatua za serikali wafe tu, hakuna namna, nchi hatuwezi kuwa na wasaliti, tunataka tufikie uchumi wa kati kabla ya 2025, hatuhitaji watu wa kutukatisha tamaa. Hata Mungu hakuruhusu wanafiki kufika nchi ya ahadi, walikufa wote isipokuwa wawili tu na kizazi kipya walifkia.

Ajifunze kwa Diamond. Diamond ni kijana mzuri sana, yaani kwake muziki ni kazi, na ni ujasilia mali. Hawezi kufanya kitu kinachoweza kuharibu biashara yake.

Mbona na wewe tayari ni mnafiki? Kwanza wimbo hauna tusi unaweza kusema tusi ni lipi? Uchumi wa Kati utakuja kama tatumia akili sana badala ya siasa, tufanya kazi pamoja bila ubaguzi na kufuata Sheria, tutaheshimiana kama Watu badala ya kuwindana kama wanyama kwa Sababu ya tofauti zetu!
 
Waoga ni pamoja na wewe...
Ebu tumia jina lako halisi hapa JF kama utaongea unayoongea sasa!
 
Angekuwa anabadilisha sauti @ melodia sio kubadili maneno lakini melody ni ile ile asije akafika sehemu muziki wake ukakinaiwa kama wale wa zamani , nature, baya, nk. Anatakiwa aangalie sii soko la bongo tuu ambalo muziki unapata umaarufu kwa na ngano, misemo na mashairi ya mafumbo ya kiswahili lakini, muziki wake unatakiwa umvutie hata mtu ambaye hasikii chochote kinachozungumzwa bali mvuto wa melody na beat
Mkuu ROMA Alishasema hataki kuhangaika na soko la mpaka awakilishe waTZ kwan muzik wake ni wakuwakilisha wananchi kwa viongozi. Pia hiyo ya melody ni ID yake kwenye uwasilishaji angalia kwenye nyimbo zingine za kucheza alizotoa ametumia melod nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom