Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Hivi huyo Roma anajilazimisha muziki maana hata sijui anaimba nini zaidi ya kuongea ongea mistari isiyo na vina wala mpangilio alafu anaimba upuuzi tu... kuna watu hununua miziki yake au? ndio sogeza siku tu kama Soggy Doggy Hunter
Sasa utamwelewaje wakati bado nazi changa na ndani kumejaa maji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na kulipualipua vibao vya muziki visivyo na mvuto. kaa utafakari ni wapi umeteleza na ikibidi onana na watu kama akina Roma kwa darasa wakupe mbinu za kuwateka mashabiki Wa aina ya Muziki unaouimba. Hata kama hamuimbi muziki Wa aina Moja lakini wanaweza kukusaidia kukupa mbinu juu ya mashabiki wanataka nini na kwa wakati gani. wahenga walisema elimu haina mwisho. Achana na mashabiki wako uchwara ambao hata ukitoa nyimbo za hovyo wanakupa sofa kihivohivo.
bila shaka umenipata.
 
Wasanii wengine wanaona , kupata u star na umaarufu uimbe kudhalilisha, kuikosoa,Serikali
 
Back
Top Bottom