Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Aminini siku hazigandi we ni Yanga mi ni Simba kuwa mpinzani sio dhambi/
Ipo siku mtawala atakuwa mpinzani Simba akichukua kombe sijui atapona nani.
Fasihi ya hali ya juu inataka akili kuelewa
 
Kumbe watekaji wake anawajua kwamba ni soldier na kwamba alipewa order na alitumwa na...
 
Watu hamjui kiswahili dah...
Nyimbo=wimbo

Huu wimbo mzuri sana kwa kweli.

Naipenda JF
 
Mungu amwezeshe kusahau machungu ya watekaji
 
Back
Top Bottom