Glas
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,242
- 1,193
Nahc hicho kituHili neno Zimbabwe nahisi litakuwa na maana kubwa sana km tukilifunua. Zi mba bwe nadhani litakuwa na maana kubwa zaidi ya Zimbabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahc hicho kituHili neno Zimbabwe nahisi litakuwa na maana kubwa sana km tukilifunua. Zi mba bwe nadhani litakuwa na maana kubwa zaidi ya Zimbabwe
Dah kuna watu mna brains..big up mkuuSikia hii " nasimama na unga hoja kwenye uchumi wa viwanda, nanasi linaoza msoga, tikiti linaoza shamba"
Roma kaimba fasihi sana kwa haraka hapa wawezahisi anasifu uchumi wa viwanda.
Kiharaka tu anasema bila kilimo hakuna viwanda maana tunahtaji raw material(malighafi) ili twende kwenye processing factories then transfomation to light industry.. Uwezi enda uchumi wa viwanda kwa kuruka stage ya agricultural revolution
Viva Roma Viva naenda Zimbabwe
-Dumelang
Mkuu we hujapata janga lakini bado hata jf umeshindwa tumia jina lako halisi na I am sure hata usingependa ujulikane wewe ni nani.imezoeleka msanii Roma mkatoliki kila anapoachia wimbo hutoa ujumbe pasi na kuficha chochote lakini kwa huu wimbo wake mpya (zimbabwe) hali imekuwa tofauti, si Roma tuliyemzoea kwa kweli
Roma katawaliwa na hofu na uoga wa hali ya juu, lugha ya kisanii aliyotumia inaonesha uoga na hofu, kama si hivyo basi itakuwa ni unafiki kama anaoufanya mrisho mpoto
Roma alitakiwa kufunguka hasa baada ya ile awamu ya kwanza kufail, sasa ndio ilikuwa nafasi yake kuwachana live waliofanya tukio na sio kuwataja kiuficho (RC & polisi)
ila hongera ni wimbo mzuri, tunahitaji harakati za wazi, umerudi zama kwa hili kwa kweli
Mkuu umeniongezea kitu kweli huu wimbo ukisema kuandika alicho kiongea ndani ya huu wimbo ni kitabu kikubwa sana"Waliosadiki Roma Ataonekana Kabla ya Jumapili, (Godbless) Imetimia Injili Nilioitabiri"
Hii Punch ni zaidi ya Kitabu cha page elfu moja utakapoamua kurecall baadhi ya vitu na kuunganisha dots. Godbless inaweza kuwa ni "Mungu Bariki" lakini pia inaweza kuwa ni Jina la mtu.
Hii ndio sanaa
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
Mkuu nadhani Roma anatofauti kubwa na wasanii kama darasa ambao kwao mziki ni all about making money yeye anatumia sanaa kuisemea jamii so mtu mwenye atitude hiyo soko lake halitakuja kufa kwani kinachotrend kwake ndiyo idea ya kutunga wimboAngekuwa anabadilisha sauti @ melodia sio kubadili maneno lakini melody ni ile ile asije akafika sehemu muziki wake ukakinaiwa kama wale wa zamani , nature, baya, nk. Anatakiwa aangalie sii soko la bongo tuu ambalo muziki unapata umaarufu kwa na ngano, misemo na mashairi ya mafumbo ya kiswahili lakini, muziki wake unatakiwa umvutie hata mtu ambaye hasikii chochote kinachozungumzwa bali mvuto wa melody na beat
nyimbo mojawapo ya kumsifia na kumpamba Magufuli na Bashite....
Mshikaji ni mwanafasihi wa kimataifa
Mkuu naona wimbo umekuzidi, umekuwa mkubwa sana kwa ww kuuelewa..nyimbo mojawapo ya kumsifia na kumpamba Magufuli na Bashite....
Huu ndo uwezo wenu wa kufikiri na sio SI Unit ya ukweli.Usiseme wengne wamewaza sivyo wakat ww sio Roma. Ukickilza wimbo tu unaelewa zimbabwe ni wap.wewe umeelewa vema, kuna member juu pale kaelewa ndivyo sivyo na amepotosha!
Alikuwa ana umwa?Roma/ameuliza, alipokua Hospital mbona hamkumtembelea? Mnasubiri mazishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye john malizia (baba janeti)Mungu wa Paul (Makonda), Daudi(Bashite) na Mungu Wa Yohana/John (?), kweli dogo soon atarudishwa Ununio
Mkuu hujaisikiliza vizuri, mbona kawataja...Kachapwa mijeledi,kapigwa bila huruma na kafumbwa macho siku3.... ni kina nani hao walio mfanya hivyo? Kwann asiwataje sasa.....na mbona yupo nao.