Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
Anapga serikali?This artist ni idiot kabisa. Badala ya kutunga nyimbo za kumuingizia hela yeye anatunga nyimbo za kutukana? Hivi anajua ni watanzania wangapi wamekufa kwa sababu ya rushwa na yeye anashabikia rushwa? Yaani namaanisha anapopingana na serikali anamaanisha nini? I think inabidi tufikie pointi ya wale wote wanaopinga hatua za serikali wafe tu, hakuna namna, nchi hatuwezi kuwa na wasaliti, tunataka tufikie uchumi wa kati kabla ya 2025, hatuhitaji watu wa kutukatisha tamaa. Hata Mungu hakuruhusu wanafiki kufika nchi ya ahadi, walikufa wote isipokuwa wawili tu na kizazi kipya walifkia.
Ajifunze kwa Diamond. Diamond ni kijana mzuri sana, yaani kwake muziki ni kazi, na ni ujasilia mali. Hawezi kufanya kitu kinachoweza kuharibu biashara yake.
Kabisa.......Jina lako linaendana na ulichoandika!
- KANA -
Wagumu fake ni wale walioenda na bunduki kumteka, endelea kupalilia kibarua chako tu.Jamaa kisharhibitisha kuwa yeye ni mgumu feki, mjanja chumba cha studio tu!!
Umetisha sana mkuu."bandugu bwaga manyanga ayaokote magufuli"
Delta Force
Nilitabiri utakuwa rais/ukiwa unaitwa waziri japo maisha sio marahisi/Ila unahitaji pongezi /
Track itakuwa stori ya town kwa mwezi huu.
Ameitumia fasihi kwa kiwango kikubwa saaana kufikisha ujumbe.
Neno ---- zimbabwe
---------Dr anayetibu
--------'Mwalimu anayefundisha
Na lyrics zingine nyingi.
Huu ndio muziki wa Roma sasa.
anachoimba ni burudani au ni kitu gani maana anachoimba na vionjo mkienda klub mtachezaje au ujumbe unamhusu nani?
sikiliza hapo dakika ya pili sekunde ya 20 utamsikia akimtabilia Magu mema.
acha upuuzi wewe,hivi roma ana mashabiki wangapi na diamond ana mashabiki wangapi???kukubalika kwa nyimbo za mwanamuziki tunatumia kigezo gani kama sio tuzo na mashabiki alionao??
na kwanini mumfananishe roma na diamond peke yake wakati kuna wanamuziki kibao tuu hapa tz,inamaana hao wote muziki wao ni mzuri zaidi ya diamond,wote wamepata darasa kutoka kwa roma??