Tunaelekea kuwa kama Zimbabwe
acha upuuzi wewe,hivi roma ana mashabiki wangapi na diamond ana mashabiki wangapi???kukubalika kwa nyimbo za mwanamuziki tunatumia kigezo gani kama sio tuzo na mashabiki alionao??wewe utakuwa mshabiki wa tuzo za kimataifa Ila siyo shabiki wa muziki
Hiyo Video ni Fumbo kubwa sana
Fumba macho sikiliza
Ulitaka awaweke na waliomteka na alivyokuwa anateswa ukosefu Wa akili sasa huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Atausifia kama alivyofanya kwenye WAPO kifuatacho ........
Hahahaaaa, Ila Jamaa ni genius jamani
Mkuu unatokea Nkasi nini,
Kule alikoenda kipindi kile ulimokoa ww ??alipambana nahali yake so mwache atapambana mwenyewe.Roma anadhani hii sirikali inataka kuimbiwa Mipasho.!
Wananchi hawatamuokoa na mkono WA bashite. Ni Mungu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mathematics ile ngoma alisema 'bwandugu bwaga manyanga ayaokote huyu wa sasa hapa alimtaja jina'Asee jamaa humu ndani katumia lugha ya fasihi haswa asee. Kama unajiuliza kuna maswali mengi asee unaweza jiuliza. Mfano
1. Kuna sehemu anasema "nilikutabiri tangu ukiwa waziri" hiki kimstari kuna nyimbo moja aliwahi kuimba kipindi cha Jk,bado sijang'amua kama aliwahi kumtabiria huyu wa sasa.
2. Kuna mahala anasema sikuona nyota kwa shoulder ila najua ni soldier na hapa inaonekana wazi huyu mtu ni ama ni mwanajeshi/ askari/usalama au vyovyote vile ila inaelekea kwenye mkumbo huohuo.
3. Anazungumzia waliotabiri ataonekana kabla ya jumapili na ikatokea kweli na waliotabiri wanajulikana,haha.
Hayo mm ni mawazo yangu tu