Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,856
Ha ha mkuu kama Sijaelewa hivi ulichomaanisha
Hilo neno Dumelang kuna MC mmoja aitwaye Nick Mbishi alilitumia kwenye wimbo mmoja alioshirikishwa na Caligraph Jon wa Kenya [emoji1139].
Ha ha mkuu kama Sijaelewa hivi ulichomaanisha
2006 ,,duuuh
shushushu VIP
Nilitabiri utakuwa rais kipindi uko waziri japo maisha siyo rais, hheheeeMimi nimependa mstari mmoja tu "
Mungu wa Paul ndo Mungu wa Daudi,
pia ndo Mungu wa John aitwaye
Yohana " hahahahahaaa
viongoz wa Zimbabwe na Tanzania wafanana, Zimbabwe ukiisema Serikali yanakukuta kama hayo ya Roma.Ina maana amehamia Zimbabwe au? Tusijekuwa tameanza kuwa na wakimbizi wa Bashite
Usishangae haya matakataka yakamkamata kwa Uchochezi
Aache muziki kwa sababu ya shabiki mmoja tu. Acha wewe kumsikilizaRoma ni bora angeacha mziki. Nimesikiliza huo wimbo haujanivutia kabisa. Binafsi nilikuwa shabiki wa Roma ila kama kwa sasa staili ndio hii, mimi sio shabiki wake atafute wengine
Alimtabiri kwenye nyimbo zake kati ya 2030,mathematics, au viva kuna sehemu anasema hii nchi ilivyo labda magu ndo ataiwezaSafi.
My take.
1.Katumia akili sana kubalance story yake ili yasimkute tena.
2. Kumbe alitabiri magufuli atakuwa Rais.(bado cjaamini hili)
3. Kawajibu wale waliokuwa wakisema bora anyooshwe kwa kumsingizia eti kamtukana magu. ( hata humu JF wamo)
4. Hayupotyari kuwataja watekaji wala kusema lengo lao ( ipo siku atawasema tu. Akikaa kimya, Tume will)
5. Yupo vizuri kutunga na kudeliver message kupitia mziki.
6. Kumbe anatambua kelele zetu ndizo zilimuokoa laa sivyo wangekuwa wamesha msaa 8.
7. Inawezekna wimbo na video katengenezea zimbabwe ili wasije msomba kabla poroject haijaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasije mteka
Ni kweli labda yamezeshwe kwa kusimuliwaIla takataka za Lumumba kama akina Bashite zenye zero... Haziwezi elewa fasihi ya huu wimbo
Sent using Jamii Forums mobile app
dawa imewaingiaMbona Lumumba sioni comment zenu? Au jamaa kawakera nn? Twenzetuni Zimbabwe
Sent From Kisana Kiki Iphone
Mie mange aliniblock[emoji23]Hii video inasambaa kwa kasi sana!!
Niliiona kwa Mange kitambo!!
View attachment 562810 Pitia hii video kujua kilichomkuta Roma Mkatoliki
NB
Siku tatu kama Mateka, wakati huo kuna Mkuu wa Mkoa alitoa ahadi ya kupatikana kwake, na akapatikana kweli. Hakika hata Ben Saanane akitokea anaweza kunena Makuu ambayo kimsingi yanaweza kuwakaa akilini watanzania, vizazi kwa vizazi.
Bring Back Ben Saanane
Hajakulazimisha kuwa shabiki wake ukipungua wewe kuna wanaoongezeka zaidi yakoRoma ni bora angeacha mziki. Nimesikiliza huo wimbo haujanivutia kabisa. Binafsi nilikuwa shabiki wa Roma ila kama kwa sasa staili ndio hii, mimi sio shabiki wake atafute wengine
Mzee wa siti ya mbele pumzi imekata.
Mkuu Ruttashobolwa katika post yake ya mwaka 2012 alisema kwamba hawa watu wako tayari kuwamaliza watu ili waendelee kubaki madarakani!Mie wasiwasi wangu yule Mwakyembe ataufungia huu wimbo, na kweli wanaweza kumteka tena hawa wadhalimu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Jamaa, daah!
Weka bunduki chini si tubishane kwa hoja,
Kuna mbunge alisema mie nilmtukana mkuuu atahukumiwa kwa mkono wa Mungu.
katika watu wa hip hop wanaoamsha mashabiki ni huyu na stamina fuatilia show zaoWimbo ni mbaya, yaani hauwezi kumuingizia hela. Kwa sababu 2015 kila mwananchi alihitaji mabadiliko, sasa yeye kaibuka ni li nyimbo la kinafiki. Maisha kwake naamni yatazidi kuwa magumu maana anachezea system ya wateja wake. Ki ukweli sasa namchukia sana huyu kijana mnafiki
N mzur mnohajaeleweka, wimbo mbaya
aweke wazi kilichomkuta kwanza, mafumbo haya hayatusaidiii sana