Roma kile ni kichwa hasa,
jamaa anajua jinsi ya kuwateka mashabiki na kwenye show zake anakuwa na amsha amsha si yakitoto,
mi naona Roma ametumia njia fulani ya kutengeneza Bond baina yake yeye na mashabiki zake, ndomana unakuta asilimia kubwa ya mashabiki wa Roma wapo loyal to him, popote pale hawawezi kumuangusha,
usishangae hata kwenye show za ndani basi Diamond akaachwa mbali sana kutokana na shangwe atakazoshushiwa Roma.
The same thing kuna watu katika kariba mbali mbali wame-apply hii kitu mfano Millard ayo,
cheki bond aliyotengeza millard kwa mashabiki zake na jamii kwa ujumla, n.k