Ha ha ha ha hata mimi huyu dada hua simuelewi elewiHivi Queen Darlin ni mdada? Mi namuonaga kama dume!
Unachoongea unahakika nacho au.?? Au mgombea katala hela Ali kaenda kupiga pesa .Ile ni biashara Hizo mambo zingine za kuwa yule ni bwana ake sio vizur mkuu. Hayo mambo yajadiliwe Ig.Ali Kiba hajatoa wimbo baada ya mwaka, katoa remix tatu, katoa Joho tena kumkampeinia bwanake wa Mombasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kinachowacost team diamond ni kuamini Kila kitu mnachoambiwa na boss wenu farasi nn kwa huo ushahidi wataka nn sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa bhana sasa nani chaguo la shetani? Naona vijana wa kariakoo wamechefukwa kwelikweli.Hakika Diamond ni chaguo la Mungu
kwani ni mashindano eeh, mie naona kila 1 katoa kwa muda wake, au sie wasikilizaji ndio tunaona mashindanowatu 7 kushindana na mtu 1 ni ujinga wa kiwango cha lami
jimbo baya
kiba wanyooshe
Unaongea kwa huruma kama vile umeguswa Kism.
Wewe dili na yale mambo mengine huku unajichoresha unajishushia heshimaDah, sio vizuri kabisa! Hawa jamaa wanachomfanyia mwenzao sio vizuri.
Mi hata siijuihiyo seduce mbona watu wameshaichoka hata wiki haijamaliza.