Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Hata kutoa hizo nyimbo nyingi wcb pia ni ushauri, sio kwamba hashauriki,

Muziq ni biashara, na katika zama hizi za soko huria biashara ni ushindani!!!

Then kilicho bora kitasonga mbele na kusimama, vile wajua kizuri chajiuza kibaya,,,,,,,

Aftaol kutoa wimbo mmoja then unasikilizia hizo ni ZILIPENDWA!!!!
Ni kweli mkuu, mziki biashara pia wcb wanalo duka la kuuzia mziki ambalo ni wasafi.com. sio mbaya kama wanaongeza bidhaa katika duka Lao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani WCB na mashabiki wao kuna kitu hawakijui vyema kuhusu muziki na ushindani.

Wanaamini Diamond ndio mwanamuziki bora zaidi hapa Tanzania, na hapo hapo wanalazimisha bifu au ushindani wa kijinga dhidi ya wanamuziki wengine ambao wao wanaamini ni wanamuziki wadogo. Hasa wakimlenga Ali Kiba. Hiyo ni wrong stratergy in a long running. Huwezi kujiona wewe ni bora zaidi halafu unaenda kujilinganisha na wale unaowaona dhaifu.

Diamond alishakuwa maarufu sana hadi kufikia kilele cha umaarufu wake hapa Tanzania, na kwa sasa ni mwanamuziki wa kawaida machoni pa watanzania kwa sababu keshazoeleka sana hapa Tanzania. The same to Ali Kiba, na yeye alishafikia huko huko kabla ya Diamond kuibuka. Na hiyo ndio Asili ya umaarufu ilivyo.

Kwa kusonga mbele kwa yoyote kati yao kutategemea mambo haya....
1/Utulivu wa hali ya juu.
2/Umakini katika kufanya muziki.
3/Kupata mashabiki wapya.
4/Kujipanua kimataifa.
jibu deep sana hili DBANJ ,WIZKID,DAVIDO Walishalijua hilo ndo maana wameweka tofauti pembeni na kukamata soko la Dunia na wanatoboa kweli ...all in all ndo mziki wetu huu tushazoea mabeef na ushilawadu ili tutoboe
 
(WCB ZILIPENDWA)
Hello wanajamvi wana nduguzangu ningependa kuwafahamisha kua, nitakua natengeneza lyrics kwa ngoma mbalimbali mpya za Bongo. Kama utakua interested please subscribe to my CHANNEL ili usipitwe
Youtube.com/c/felixtvtz

(ROMA FT STAMINA HIVI AMA VILE)

(ROMA MKATOLIKI ZIMBABWE)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu, mziki biashara pia wcb wanalo duka la kuuzia mziki ambalo ni wasafi.com. sio mbaya kama wanaongeza bidhaa katika duka Lao.

Sent using Jamii Forums mobile app
wasafi.com ni ya clouds kama ilivyokua chibu perfume ya ruge ndo maana hawachagui mziki wa kuweka mle
wanaoiandaa Wasafi
ni

Contact Us ambao wapo affiliated na clouds media au clouds group of company
tuwage great thinker basi..ila all in all now wasafi na diamond wamekua brand ambayo inauzika ..big up to diamond for all this endorsments
 
Wiki ijayo kuna nyimbo mbili zinatoka, so kama unaumia basi endelea kuumia zaidi.
 
Shule ni muhimu sana kwa kweli, wimbo wenyewe wameiga kwa Matonya.
 
Kiba ana hali mbaya sana kimziki vijana wamemkalia kooni.
 
Nadhani WCB na mashabiki wao kuna kitu hawakijui vyema kuhusu muziki na ushindani.

Wanaamini Diamond ndio mwanamuziki bora zaidi hapa Tanzania, na hapo hapo wanalazimisha bifu au ushindani wa kijinga dhidi ya wanamuziki wengine ambao wao wanaamini ni wanamuziki wadogo. Hasa wakimlenga Ali Kiba. Hiyo ni wrong stratergy in a long running. Huwezi kujiona wewe ni bora zaidi halafu unaenda kujilinganisha na wale unaowaona dhaifu.

Diamond alishakuwa maarufu sana hadi kufikia kilele cha umaarufu wake hapa Tanzania, na kwa sasa ni mwanamuziki wa kawaida machoni pa watanzania kwa sababu keshazoeleka sana hapa Tanzania. The same to Ali Kiba, na yeye alishafikia huko huko kabla ya Diamond kuibuka. Na hiyo ndio Asili ya umaarufu ilivyo.

Kwa kusonga mbele kwa yoyote kati yao kutategemea mambo haya....
1/Utulivu wa hali ya juu.
2/Umakini katika kufanya muziki.
3/Kupata mashabiki wapya.
4/Kujipanua kimataifa.
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Haha huyu jamaa kala maharage ya wapi? yaani Mond atulie ili ampishe mpinani wake atambe sokoni? we umefufuka leo au. Imagine yaani yanga wamwambie Tshitshimbi amuache Niyonima wa Simba agawe mapande kwakuwa yanga wamesha fiunga.
 
Bakuli la Bati .... Zilipendwa.....
Kipusa nalo... Zilipendwa
 
wasafi.com ni ya clouds kama ilivyokua chibu perfume ya ruge ndo maana hawachagui mziki wa kuweka mle
wanaoiandaa Wasafi
ni

Contact Us ambao wapo affiliated na clouds media au clouds group of company
tuwage great thinker basi..ila all in all now wasafi na diamond wamekua brand ambayo inauzika ..big up to diamond for all this endorsments
Acha umbea ww umejuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom