Hebu Nitandikie Kitanda TulaleKwani vipi? unadhani kila mtu ana userious na hizi team mond & kiba? niache plz
Wiki mbili ndogo mkuu...tuzipe mwaka kuna moja hapo tutakuwa tushaisahauMimi sitaki kukoment chochote kuhusu hizi nyimbo, cha msingi tuzipe hizi nyimbo wiki 2
Sent using Jamii Forums mobile app
si hao tu had max yule wa mizengweKumuimba Kanumba na Ivan sidhani kama ni sawa
Wameshapagawa.. moto wa kiba hawauwezi hawa. We piga hesabu tangu kibakuli a.k.a king atoe AJE hawa wcb wametoa nyimbo ngapi hawa wcb n waoga mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Seven Mosha..!Ukisoma vizuri maneno yako inaonesha akili yako ilikuwa inatetemeka muda unaandika, na sio vidole.
[HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG]Kweli bongo kuwekwe tuzo za wachukiaji, maana kuna watu wana vipaji.