Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

wcb wanafanya muziki kiba anatoka kwa kiki,acha maisha yanaendeleee.nauliza shabiki wa alikiba kwenye harusi yake ataingia na seduce me au zilipendwa ?
 
Wanapambana Na Kiba, Kweli Ali Mtu Mbaya Pasua Kichwa Heart Breaker Kipusa
siwapendi nyny mpaka kufa
Sijutii kuwa TEAM WCB 300 yangu inaenda kihalali

[emoji445][emoji445][emoji445] diamond na wema zilipendwa[emoji445]

[emoji444]nywele za kichina zilipendwa[emoji445]

[emoji445]sikinde msondo zilipendwa [emoji445]

[emoji445]iddy amini dada zilipendwa[emoji445]

Shikamoo mond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwa tunasubiri ujio wa ngoma ya Diamond Platnumz na Patoranking itakayo tolewa rasmi wiki ijayo, WCB leo wameangusha ngoma mpya kali saaaaaaaaaaaaaana ijulikanayo kama Zilipendwa.

Humu wapo wasanii wote wa WCB kuanzia Mondi, Mavoko, Rayvan, Harmonize na mwanadada queen darlin


Kwa uhondo zaidi ingia wasafi dotcom uweze kujinunulia wimbo wako kwa sh mia tatu tu,za kitanzania.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...CCAwAA&usg=AFQjCNEi7t96358lyuSMHA01zXyrZPTxQA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elezea kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii saiv kwenye vuta nikuvute issue nzima ya nyimbo zinazoendelea kutreanding kati ya WCB na KIBA...naanza kwa picha
5f1efa3be53261af203784df1e5a7b83.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
akili za watz bana, hizi nyimbo kutoka wakati 1 imekuwa ni mashindano, sidhani wimbo unaweza andalia muda huo huo na shooting kisha utolewe, ni kwamba nyimbo zimetoka wakati 1 basi imekuwa ati mashindano
 
Itakuingizia sh ngapi hiyo WCB ikifa aibu yako kushabikia wanaume wenzako kazini kwako hakuna kitu ptuuuu.
acha roho mbaya na akili za kipuuzi.
mwanaume akifanya kitu kizuri lazima apewe heshima,
billgate akipewa sifa si mbaya.
rais akipewa sifa si mbaya,
una wivu wa kike....
 
Dogo kwanini usiwe busy na masomo. ...?? Mwakani usije kulialia humu ndani mara ndalichako kapandisha grade mara hivi mara vile. .
Wee endelea kuleta ligi za kijinga

Nokia ya Torch
 
Back
Top Bottom