Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Pamoja na kwamba nyimbo ni mbovu kuna watu wameanza kutuchanganya wanadai eti ni ya mondi peke yake! mimi kwa nimjuavyo mondi hawezi kukaa yeye kama yeye akatoa mbovu hivi.

nijibuni kwani hii nyimbo ya nani? au ya wote?
 
forumyangu miye teamkiba tangu 2007/2008 na nilianza kumshabikia,Kiba tangu anakuja kwenye show pale Lindi wakati nasoma Lindi Secondary...A-level!
Hakuna kama Kiba kwenye vocals na utulivu stejini....!
Na hata katika ile thread yenye shindano kati ya mondi na Kiba,kura yangu imeenda kwa Kiba!
Kura yangu ni ya huruma ya kujaribu kuvunja monopoly ya wcb ktk mziki wetu...ambayo,kiafya siyo nzuri.!
Kiba anapata kura nyingi za huruma toka kwa anti-wcb!
Mkuu wengine hizi bifu za uteam hatuzichukulii serious...sanasana tunazitumia kupigia pesa za wafia timu.. ili kupunguza ugumu wa maisha haya ya awamu ya tano...!
Wajinga ndiyo waliwao...!
Wewe ndo mjinga sasa kama kiba alianza kuwa na fanbase kitambo sasa iweje useme anategemea ant wcb

great thinker
 
6a20510c9acf9735d1407fc3d936eee8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom