Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
Kwa nini wasiachie siku nyingine wivu tu na roho mbayakwani kuna ubaya ?
Kwa nini wasiachie siku nyingine wivu tu na roho mbayakwani kuna ubaya ?
Sio mziki?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....!Kiba angefanya mambo mengine
kibakuli na yule anaye pumuliwa Miss Dimpozi wana henya kwa sasa, kawimbo kao tumekaweka kapuni.Sijutii kuwa TEAM WCB 300 yangu inaenda kihalali
[emoji445][emoji445][emoji445] diamond na wema zilipendwa[emoji445]
[emoji444]nywele za kichina zilipendwa[emoji445]
[emoji445]sikinde msondo zilipendwa [emoji445]
[emoji445]iddy amini dada zilipendwa[emoji445]
Shikamoo mond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan ni mbaya seduce me ni [emoji91] sina team lakini huo ndio ukweliWameimba Kwaya
Wewe unayejua mziki mzuri umefanya nini cha maana kama sio kubong'oa kidomo chako kama kipini cha tako.
pengine labda haujui mziki.Mbona wimbo wa kawaida tu?
We kweli umechelewa mpaka Leo ujajua nani anaeshindana na mwenzie
hiyo seduce mbona watu wameshaichoka hata wiki haijamaliza.Seduce me ya Ali kiba itadumu mda mrefu sana kuliko izi copy and paste za laizer na baba yake Domooooo
Wenye akili zao au wenye mapenz yaoWenye team zao hawatakuelewa kabisa
Hahaaa huwezi kuwa king yule muimba taarabNaskia kuna mtu anaitwa king halafu anaimba kaswida???